Kazi yangu ni kuongea hilo swala la nani amesikia linakuwa halipo kwenye mamlaka yangu.
Mfano hapa nimemtakia farewell Messi, so we kwa akili zako unahisi Messi atakuwa na ID hapa JF?
Amefanya vingi kwenye mpira huu hakuna ambacho hajafanya.
Na saizi naona yupo kwenye race ya mabao 1,000 ila hili alofunga jana dhidi ya Benin halitawekwa kwenye hesabu.
Namkubali sana Messi ila siwezi kunyamazia upendeleo wa wazi ambao anapewa.
Ni swala ambalo liko wazi hata wewe ukiangalia heshima anayopewa Messi pale Argentina sio sawa na ambavyo Ronaldo anakuwa treated Ureno.
Njia ya Messi kwenye mafanikio siwezi kusema ni rahisi ila nadiriki kusema sio...
Yupo tayari kurudi National Team.
Zile agenda za ESPN kuwa ametoa ultimatum kuwa bila Jorge Jesus kuondoka hawezi kurejea, it was cap.
Media kama hizi Trump ndio anaziitaga fake news.
Yule GOAT anapitia njia ngumu sana kiukweli huwa najiuliza aliwezaje kupata hizo ballon d'Or 5.
Anahujumiwa na wachezaji wenzake na bado media zote zipo dhidi yake.
Angalia hii post ya ESPN
ESPN wamemkingia kifua Messi kwa kupindisha ukweli.
Tukio halisi ni hili
Ukweli ni kwamba Messi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.