Recent content by Sawia

  1. S

    Shukrani kwa wasamaria wema walionisaidia, kwa sasa nina changamoto hii

    Salamu waungwana, Ninawashukuru sana waliojitokeza kufuatilia matatizo yanayonikabili na familia yangu kupitia bandiko nililoliweka humu kuomba msaada. Msamaria mmoja aliamua kunipatia makazi ya nyumba huku Madale mwingine akanisaidia usafiri wa kuhamisha vitu na familia toka Magomeni hadi...
  2. S

    Magufuli: Tunakwepa Kodi na Tutazidi Kukwepa Kodi

    Umeongea kwa uchungu sana!
  3. S

    Makafara katika ujenzi wa magorofa

    Umefanikiwa vipi kwenye misukosuko hiyo mkuu? Tupe elimu na sisi huenda mikwamo yetu ikawa na sababu tusizozijua.
  4. S

    Kilimo, soko na faida za Uyoga

    Nipo Dar, nina hamu sana ya kujifunza na kuendesha kilimo hicho kuanzia mwezi ujao. Kama unaweza kunifundisha kwa vitendo hadi kufuzu na kuwa na uhakika wa kilimo hicho na soko lake tuwasiliane zaidi.
  5. S

    Nateseka na wanangu, wasamaria wema nisaidieni nipate pa kuishi na mtaji wa genge

    Hii ID ni ya mume wangu huwa naingia na kutumia kama suala ni la kifamilia na mara nyingi huwa tunashauriana na kukubaliana hivyo kutokana na hali yake kama nilivyoeleza kwenye mada husika. Sijaona ulazima wa kuwa na ID yangu humu kwa vile hata nikitaka kuingia humu natumia hii hii na ili...
  6. S

    Nateseka na wanangu, wasamaria wema nisaidieni nipate pa kuishi na mtaji wa genge

    Bado sijapata mteja. Ndicho kitanda pekee cha watoto nilichoongelea hapa kuwa imebidi niuze lakini hadi sasa sijapata wa kukinunua kama umenisoma vizuri mkuu.
  7. S

    Nateseka na wanangu, wasamaria wema nisaidieni nipate pa kuishi na mtaji wa genge

    Habarini wana JF wapendwa, mimi naitwa Telesia Mdumula. Nina mume na watoto 5. Tunaishi Magomeni Dar. Mtoto wa 1 amemaliza la 7 mwaka huu na kupata `B` tunatarajia atachaguliwa kidato cha 1 mwakani. Wawili wanaingia la pili mwakani na wawili waliobaki bado wadogo sana. Mume wangu ni mlemavu wa...
  8. S

    Kitanda cha chuma double decker kinauzwa

    Waungwana nauza kitanda double decker cha chuma chini ni futi 5x6 na juu futi tatu na nusu kwa sita. Ni kizuri na imara nauza pamoja na godoro lake la juu. Bei sh. 350,000/= pungufu tunaweza kuongea. Nipo Magomeni Dar. Nimeshindwa kuattach picha. Yeyote anayehitaji tuwasiliane kwa PM au anipigie...
  9. S

    Kilimo, soko na faida za Uyoga

    Mkuu mafunzo yanapatikana wapi na kwa muda gani? Gharama ya mafunzo ni kiasi gani?
  10. S

    Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

    Nimesoma kitabu cha Gifted Hands by Ben Carson
  11. S

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Mkuu hizo lita 100 au 200 unapata kwa mtu mmoja au unakusanya kwa kuzunguka kwa mfugaji mmoja mmoja hapo Mkuranga? Hao wafanyakazi 2 au 4 wanasambaza maziwa wapi? Soko la uhakika la kuuza lita 100 au 200 lipo wapi au ni kwa kutembeza mwenyewe kwa kutumia hao wafanyakazi?
  12. S

    Mwanafunzi wa kwanza mwenye ulemavu kupata degree ya sheria kutoka Chuo cha Harvard

    Wakiwezeshwa wanaweza, tatizo la hapa Tanzania na nchi nyingi za Afrika watu wenye ulemavu hawapewi fursa kulingana na mazingira ya ulemavu wao. Hata Serikali ni kama vile haijui hili. Walemavu wamebaki kupambanishwa tu na wasio na ulemavu wowote bila kuzingatia mahitaji maalum ya ulemavu wao.
  13. S

    Jipatie tiba bora ya maradhi mbalimbali ya mwilini

    Mkuu ulipona vipi pumu? Tujulishe nasi twahitaji hiyo dawa iliyokuponyesha pumu.
  14. S

    Volunteer in project proposal wanted

    Inahusu nini hiyo proposal na bajeti ya utekelezaji wake ni kiasi gani na kwa muda gani? Una hakika itakubaliwa na kupata ufadhili wapi?
Back
Top Bottom