Recent content by SAVERA

  1. SAVERA

    Dhana ya uwepo wa Mungu na mbingu

    Yaaanii unataka kutuingiza wote kwenye upotofu wako tuanze kumjadili MUNGU kitoto toto hivii!!! Dah!!! MUNGU Akusamehe!?
  2. SAVERA

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Kuwagomea mabeberu kuweka nchi lockdown
  3. SAVERA

    TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Tunamlilia kwa sababu,pamoja na mabaya yake,lakini alikuwa na mema pia aliyotufanyia watanzania. Kwa mara ya kwanza Taifa la Tanzania tunapitia kwenye kipindi cha kufiwa na Rais akiwa madarakani, tuombe MUNGU Atuvushe.
  4. SAVERA

    Je, Bill Gates ni uzao wa shetani?

    Ameen, uko sahihi ni muda wa kuwa tayari na kujua mikakati ya shetani na mawakala wake
  5. SAVERA

    CIA imetimiza mission North Korea?

    Kim passed away
  6. SAVERA

    Tundu Lissu atoa video aliyotumiwa na wagonjwa wa Corona Amana kuonyesha hali halisi ya wanachokilalamikia. Manesi na madaktari hawapo

    Pesa zikiingia hazitoki, tatizo kuna mtu anadharau huu ugonjwa ilhali yeye kaikimbia Dar, inasikitisha sanaa mtu anapocheza na maisha ya raia anaowaongoza
  7. SAVERA

    Tundu Lissu atoa video aliyotumiwa na wagonjwa wa Corona Amana kuonyesha hali halisi ya wanachokilalamikia. Manesi na madaktari hawapo

    Kwa sababu ya kukosekana PPE hivi leo kuna zaidi ya madaktari 100 wapo wodini na nurses wengi, kwa sababu ya kujitolea kusaidia watanzania wenzao, kwa nini wasiwakimbie wagonjwa!! Tanzania tunasikitisha kwa kweli, misaada ya pesa inachangwa inaingia tu serikalini, kutoa pesa zinunuliwe vifaa...
  8. SAVERA

    Athari za Corona: KKKT Dayosisi ya Karagwe yasitisha ibada zote kwa muda kuanzia Aprili 26, 2020

    Kufunga kanisa ni sawa na kupiga goti kwa shetani mleta Covid 19, kuwa ameshinda, hayo yanayofungwa ni majengo ya kidini, kanisa la Kristo litaendelea kukusanyika sawa na agizo la Mungu katika Waebrania
  9. SAVERA

    Yusuf Manji na wenzake wanne watakiwa kuilipa zaidi ya Tsh. Bilioni 33 benki ya NBC

    Nchi zilizoendelea wafanyabiashara ndio wanaofanya mabenki kusrvive, ndio maana hata hapa kwetu, ni kawaida kwa mfanyabiashara kukopa kisha kuzalisha na kurejesha benki. Lakini kwa makusudi serikali ya Tanzania mmeamua kuwaua wawekezaji kibiashara, halafu mnategemea watalipaje mikopo ya benki...
  10. SAVERA

    Katika watu wasiokuwa na bahati nchi hii, wa kwanza Mtatiro, wa pili ni mimi!

    Naona unajitahidi kujipigia debe, Mh. Wetu anajua anachokifanya, mbona sisi hatujakumbukwa na hatulalaki!!!!!
  11. SAVERA

    Wanafunzi wa Tanzania Aviation University College (TAUC) tunapeta tu baada ya Dreamliner kutua.

    Yaani nyie wenye chuo Mungu anawaona!! Naona mmeamua kuwatia watu moyo kwa namna hii, kwa kuanzisha topic na kujijibu. Dah!!! Tanzania hii!!
  12. SAVERA

    Chuo cha watafsiri au Interpreters

    Wataalam samahani naomba kujuzwa ikiwa kuna mtu anafahamu, kama kuna chuo Dsm kinafundisha watafsiri wa lugha ya kiingereza kwa kiswahili au kiswahili kwa kiingereza ( Interpreters)
  13. SAVERA

    Hiki ndo kinachoendelea Jerusalem sasa hivi

    Kila wakijaribu kuungana, wakisaidiwa na Russia wote wanakula kipigo wanasambaratika
Back
Top Bottom