Sikiliza vizuri ile video ndio utoe maoni inaonesha hajasikiliza
Beatrice hajaongelea kuhusu kusaidiwa yeye Bali anamkumbusha dada Ake kuhusu mama yao,lkn pia kaongea kuwa huyo mtoto Joan sio mtoto wake Wala sio ndugu yao,sasa mzee wewe umesikiliza clip ipi?mpaka utoe ushauri huo?
Nimejaribu kusoma comments za watu wengi lkn nilichogundua wengi waliocomment hajasikiliza vizuri hizo video,Wacha na Mimi nitoe maoni yangu ukiacha Mungu mumba bingu na ardhi Mungu wanaofuata ni wazazi wako sio dada,sio kaka,sio nani Bali ni wazazi wako kwa namna yoyote ile ili uzidi kubarikiwa...
Huu ni upuuzi ambao wachezaji wageni wanauleta.
Jana nimeangalia huyu jamaa akicheza kwenye timu yake ya Taifa alivaa proper tu lkn kwenye ligi yetu anavaa kisela kama karukwa na akili.
Huyo itakuwa katolewa antenna(kaket***),wengi wao hawajiamini na wanaudhi sana hakuna raha kabisa labda umpate ambae kakubaliana na hali yake huyo ndio anajiachia,binafsi nimewahi kuwa na demu kama huyo
Bank au Wakala wa Bank(wanaosimamia miiko ya kazi zao) huwezi toa hela kama sio mmilika wa account husika labda usema alienda kutoa kupitia ATM hiyo ndio inawezekana
Facts,na kwa kuongezea kataa mwanamke mwenye roho ya kimasikini hii ni mbaya sana maana inajumuisha,ubinafsi,uchawi,uroho,umalaya,yaani kila baya unalolijua liko kwenye roho ya umaskini
Mimi natumia simu kulingana na mahitaji yangu sio kwa sababu ya jina la kampuni siko brand royalty,mimi naangalia nahitaji nini kwenye simu sio jina la kampuni.
Kuna watu wanaziponda Tecno au Itel tena kwa kejeli eti Tecno inawezajituma sms hata ikiwa locked hizi si jokes sasa?Kingine mimi...
Watu wengi esp waafrika sisi ni watumwa sana wa kifikra,watu wengi wanaocomment hapa kuiponda Tecno au infinix wengi wao utakuta wanatumia used iphone au samsung saiv kuna hizi google pixel hawa watu wanaotumia hizi simu zilizotumika mimi nasema mtumba,wanajiona wamemaliza kila kitu,kitu ambacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.