Watu wanamsema Wema na kupoint fingers kwakwe hii ni kwakuwa tu mabaya yake yanajulikana lakini tujiulize kwenye familia zetu baba zetu, mama zetu,kakazetu,dada zetu na wote waliotuzunguka je hamna wanaomzidi wema kwa mabaya? Wengine hapa wakifunuliwa ni wachawi waizi, wauwaji na mengine mengi...