CHADEMA, UKAWA, muacheni Lowassa aongoze kampeni yake

CHADEMA, UKAWA, muacheni Lowassa aongoze kampeni yake

Huo ndio mpango mkakati wa ccm kutaka kuivuruga ukawa,ila wamechemka kwani ukawa kuna watu vile vile.
Mkakati wao umegonga mwamba, afadhali muda huu wanaoutumia kujifanya wanaukawa wangetumia kuziba nyufa ugambani na kumtangaza makofuli wao.
 
Kwa mantiki hyo si bora angeanzisha chama chake, hapa ni mwendo wa ukawa ushirikiano ni bora zaid yan aje afanye mipango yake si tumuangalie tu???
Ushirikiano ni jambo jema, lakini suala la kutoa matamko kuhusu Slaa na Mnyika ni counterproductive, havimsaidii mgombea wenu, bali vinakigawa chama na kupoteza malengo.
 
Mkuu yani umesema vizuri sana, na huo ndiyo ukweli mtupu
 
Ushirikiano ni jambo jema, lakini suala la kutoa matamko kuhusu Slaa na Mnyika ni counterproductive, havimsaidii mgombea wenu, bali vinakigawa chama na kupoteza malengo.
Makufuli naye ameachiwa atoe matamko kwa ajili ya vyura Wa kijani?
 
Makufuli naye ameachiwa atoe matamko kwa ajili ya vyura Wa kijani?
Kwani lazima aige anachofanya Magufuli na C.C.M? Upinzani lazima ujifunze kufanya mambo yao bila kunakili ya chama tawala. Lowassa atakuwa na manufaa kwa upinzani kama ataachwa huru alete mawazo na mambo mapya.

Kwa mfano, akihutubia baraza kuu la CHADEMA, Lowassa ameanza ku set the tone of his campaign, kwamba, haitakuwa ya matusi, uhuni na vijembe binafsi. Hili ni wazo jipya kwenye upinzani wa Tanzania, na inawezekana ni moja ya sababu za kupendwa kwa Lowassa kwenye jamii, yani kuwa na gravitas, huwezi kugombea urais wa nchi halafu hujiheshimu, kutwa vijembe na vitisho kwa wapinzani wako.

Kwa hiyo, again, wamuache Lowassa awe anaandika strategies zake mwenyewe na wasaidizi wake alionao, si lazima kuiga Magufuli anavyoambiwa pa kwenda, cha kufanya, cha kuvaa, cha kusema na kina Nape, Kinana na Kikwete.
 
Enedeleeni kujidanganya maana ukawa ina silaa ,za kutisha kila kiongozi ndani ya ukawa ni tishio kwa ccm

Nani mwingine,Mbowe?Mbowe hafikii hata robo ya mvuto aliyo nayo Dr Slaa. Mtu mwenye akili yake timamu hawezi kupoteza muda wake kwenda kumsikiliza Mbowe kwasababu kisiasa ni wa level ya akina Dr Emanuel Makaidi na Hashim Lungwe.
 
Umemaliza kazi.
 
Well Said, Chadema Kurugenzi ya Habari piteni huku. Issue huki mitaani ni Lowassa tu habari ya Chadema weka mbali kabisa. Jamaaa ana mvuto na anapendwa kwa dhati. Jana Kariakoo walizomewa washabiki wa CCM balaa. Nina amimini wengi mmepata Whup clips zinatembea. Watanzania wameamka sasa.
 
Tumaini Makene weka kambi JF kipindi hiki cha maandalizi ya kampeni. Kuna strategies kibao humu. Msilale. Nawe Ben Saanane sasa ni wakati wa kutetea chama na kushinda tu wakati wako utakuja mkuu. Patience Patience Patience . Piganeni kiume na sisi tuko nyuma yenu.
 
Mbowe ni hazina kubwa ya taifa! kuwaleta pamoja UKAWA kielelezo tosha cha utashi wake(akili kubwa)
 
Nafikiri baada ya kupitishwa leo EL atambulishwe mikoani na huko azungumze yeye mwenyewe na hotuba zake zisiguse swala la Slaa.

Hata asipogusia watu watagusia.Ajiandae kuimbiwa nyimbo za TUNAIMANI NA SLAAAAA OYA OYA OYA,SLAA KWELI,KWELI,KWELI,KWELI,KWELI SLAAA kwenye mikutano yake
 
kumbuka chama ni taasisi na kina misingi na miiko yke ambayo haiwez kuvunjwa na mtu yeyote yule ila atafanya siasa zke na shughuli zke za kisiasa chini ya misingi hyo hivyo lowasa hawezi kuachiwa afanye campen yke na timu yak tu
 
Mkuu TEKNO umenifurahisha sana eti mbowe ni level za magaidi Mzee wa njaa na Hashim lungwe aka midevu????
 
Hata asipogusia watu watagusia.Ajiandae kuimbiwa nyimbo za TUNAIMANI NA SLAAAAA OYA OYA OYA,SLAA KWELI,KWELI,KWELI,KWELI,KWELI SLAAA kwenye mikutano yake

Pole sana, naona unaweweseka.Lengo letu ni kuitoa ccm madarakani na mengine yatafuata.
 
Hatimae yatatimia CHADEMA handover kwa Lowasa chama ni chake kwasasa mkubali mkatae chama ni cha Lowasa. Ndo maana hata kampeni zake yuko tayari kufanya mwenyewe nyie kaeni kando msimvuruge coz huo mtaji alionao CHADEMA hamwezi kuwa nao hata mkiunganisha vyama vyote vya upinzani nchini bado mtashindwa bila uwepo wa Lowasa so kindly handover to Mr White
 
Back
Top Bottom