Recent content by Saskatchewan

  1. S

    JamiiForums Tanzania Uchebe: Nimefurahi Zuwena kukubali kunizalia, namuomba aendelee kuchapa kazi tusikose hela ya kula

    Sidhani kama Kuzaa na mtu ndio kigezo cha kutoachana. Jamaa anasema kwa uhakika kabisa utafikiri ndio uhakika
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    _ _ _ _________________
  3. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari zenu wakuu. Tatizo ni kukatikatika kwa umeme huku sengerema mkoani mwanza. Hili tatizo limedumu kwa muda mrefu sana. Shida ni nn? Kwa nn tatizo hili lisirekebishwe sababu ni tatizo ni la muda mrefu. Nawasilisha
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kulipia local Channels za tv ni dili la watu au ni utaratibu umebadilika?

    Hapa tunaumia kimya kimya tu. Hii sintofahamu mpaka ipate utatuzi tutakuwa tushalipia sana. Mamlaka zinazohusika zipo lakini hakuna chochote kilichofanyika. Hapa kazi tu
  5. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo sengerema nije mwanza(nyamagana au ilemela)
  6. S

    JamiiForums Tanzania Original Transcend External Hdd for sale ikiwa na movie ZAIDI YA MIA MOJA

    Hiyo gharama ya usafiri inakua included kwenye hiyo laki na 80 ama?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Original Transcend External Hdd for sale ikiwa na movie ZAIDI YA MIA MOJA

    Kwa walioko mkoa mwingine inakuaje?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Original Transcend External Hdd for sale ikiwa na movie ZAIDI YA MIA MOJA

    150000 unachukua mku u?
  9. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo sengerema nije mza nyamagana au ilemela. Nichek kwa namba 0755960671
  10. S

    JamiiForums Tanzania Saa inatakiwa kuvaliwa mkono gani?

    hiyo ya shingoni itakuwa inavaliwa na kamba
  11. S

    JamiiForums Tanzania Supersport na beIn Sports, nani zaidi?

    BeIN sports haipatikani kwenye cable tokea alhamisi tar.5 machi 2015 mpaka sasa hivi haijarudi. Sijui tatizo ni nini.
  12. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo wilaya ya Sengerema nije ilemela au nyamagana. Mawasiliano 0755960671
  13. S

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Kwa nn mtoze tsh 100 kupiga huduma kwa wateja wakati matatizo yenu ndio yanafanya tupige simu.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Diamond platnumz oyeee chn o awards

    Ahsante. Nimekuelewa
  15. S

    JamiiForums Tanzania Diamond platnumz oyeee chn o awards

    Tumia kiswahili tutakuelewa. Lugha ngeni ya nn wengine tulikimbia umande
Back
Top Bottom