Recent content by Sashu de Ten

  1. Sashu de Ten

    Nairobi Hospital: Hatujapokea fedha zozote kutoka Bunge la Tanzania

    Wanadhani Kenya ni Tanzania wamezoea mauongo tu halafu kila kukicha wanataka kuombewa
  2. Sashu de Ten

    TCU yatangaza mwisho wa maombi vyuoni 13/08/2017

    Vijana naona mmepunguziwa na bei ya application Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Sashu de Ten

    TCU yatangaza mwisho wa maombi vyuoni 13/08/2017

    Kamsekwa au umechanganya na hiyo tarehe 30 oct ya kuanza kwa masomo? Au wameshabadilisha? Maana hawa jamaa nao bhana so leta source ili kama wamebadilisha madogo zetu wwaendelee kuhema kidogo kwa muda kuongezwa
  4. Sashu de Ten

    TCU yatangaza mwisho wa maombi vyuoni 13/08/2017

    Kila chuo kinaupungufu wake na ubora sehemu yake pia... Udsm ni kweli ni dream ya wengi ndo maana competition yake ni kubwa na kweli inajikuta inabeba div za juu nyingi.. Na kwa vile ni chuo cha kwanza tz kina wahadhir wenye uzoefu mkubwa, phd nyingi sana udsm ila not mean ndo chuo bora kwa kila...
  5. Sashu de Ten

    Ukata wa pesa katika maisha

    Halafu kweli kabisa.. Hii hali ni hatari sana.. Mwanaume anaweza ona mwanamke kama msela wake kabisa
  6. Sashu de Ten

    Ukata wa pesa katika maisha

    Kufanya analysing ya wapi uliteleza na kujifunza katikati ya tatizo tuache utani haiwezekani kabisa.. kikubwa ni kutafuta solution ya haraka walau kustabilize tatzo kwa sababu unakuwa katikati ya stress then baada ya kustabilize tatizo either kwa kukopa au kutafuta msaada wa haraka then baada ya...
  7. Sashu de Ten

    Arusha City in photos and its wildlife

    Arachuga moja... Kwa wanaojielewa huko... Ndo mkoa unaoongoza kwa watu wanaoadmit wanatokea huko wengi na kuwa proud of it, na mara nyingi wakiwa proud nawanapotokea wa mikoa minghine wanaona kama wachuga wana masifa badala na wao kuwa proud na kwao..
  8. Sashu de Ten

    Magufuli umepigwa changa la macho Kibiti

    Kuwa na hasira na serikalo yako inayojaribu kificha ikweli kwa raia wakat hali ikiendelea kuwa worse.. Wanabaki kiigiza kwenye maisha ya watu.. Waoneshe maiti ili tuwasaidie kuwaambia ndugu zao mtandao uwe traced sio kutuletea maigizo... Au kama wameua taia bahati mbaya nayo pia wa admit maisha...
  9. Sashu de Ten

    Magufuli umepigwa changa la macho Kibiti

    Fungua akili wewe useless barafu.. Kama wameua basi hawawezi onesha maiti kwa sababu hata maelezo yao hao si majambaz ila wanahofiwa au kusadikiwa so wanaweza onesha maiti stori ikaja kuwa kama yule mwanafunzi muislamu wa udsm aliyeuliwa kumbe ni raia wa kawaida wamewaua nakuwapa stori ya kuwa...
  10. Sashu de Ten

    Magufuli umepigwa changa la macho Kibiti

    Wamenitangazia mimi kama nani? Ukipata jibu hilo basi jihu lako utakuwa umeshapata pia walitakiwa kunionesha maiti mimi kama nani
  11. Sashu de Ten

    Magufuli umepigwa changa la macho Kibiti

    Watawajibu soon.... waache polisi watuigizie tu... na sasa hivi wakiua polisi najua hawatatangaza cuz naona wanataka kutuletea cinema kwenye ishu nyeti... hili jeshi level yake ni kunyanyasa vilema tu hata raia wazima wakidinda hawa jamaa ni chenga hamna kitu...
  12. Sashu de Ten

    Kamera

    Kama unataka nzuri utarud kwenye hizo ulizoweka wewe Mfano nikon d850, d750 hizo ni best Canon eod 7d iko safi sana ..... Ila kwa mtu ambae hajawah zitumia kabisa hizi proffessional camera ni vyema ungeanza na mfano nikon d3200 iko simple bei rahis na vile function zake si nyingi...
  13. Sashu de Ten

    Kamera

    Picture nikon huwa wanatexture poa sana Video nenda kwa canon, hao ni best kwenye idara hiyo.. Sijapata kutumia sony... Kwenye ishu ya bei hiyo eos 7d andaa 3+ m na 2+ m for d750 Ila kama unataka kuanza hiyo ishu bora uanze na za kawaida kama nikon d3200 au 3300, 5200,5300 au canon eos 5d iko...
Back
Top Bottom