Sashu de Ten
Member
- Aug 17, 2016
- 26
- 36
Kufanya analysing ya wapi uliteleza na kujifunza katikati ya tatizo tuache utani haiwezekani kabisa.. kikubwa ni kutafuta solution ya haraka walau kustabilize tatzo kwa sababu unakuwa katikati ya stress then baada ya kustabilize tatizo either kwa kukopa au kutafuta msaada wa haraka then baada ya tatizo kutoka hapo unatakiwa kutafuta tatizo lilitokea wapi nakujifunza ili lisijirudie na likirudi liwe lingine ndo mfumo wa maisha sio kwamba ukishasolve hilo tatizo ndo guarentee kuwa hutaishiwa au kuteleza kwingine..