kama una uwezo wakukusanya kuanzia tani100 hii ni fursa yako yakujikwamua kwenye dimbwi la umaskini. Popote Ulipo Tanzania Nakuja kuchukua mzigo. Kwa sasa nanunua 400000/ton
miezi sita ni mingi sana .hili ni somo tujifunze tujitahidi hatakama ni huko kutafuta lakini usipite muda mrefu kabla hatujarud kwa wake zetu kuwatimizia haja zao
hakuna kinachoshindikana ukisema bas kweli bas.tafuta muda kaa chini fumba macho jitafakari maisha yako kuanzia nyuma mpaka hapo ulipo,kisha fikiria kwa mfano mungu akinichukua nitakua na hali gani?ndugu yangu wanaume wote tunataman sana na hata wanawake wapi na hiyo ni tabia ya nafsi kutamani...
jamani lazina kwanza tufahamu kua dini imeruhusu mke zaidi ya mmoja sio kwa sababu tu mmoja anamatatizo.bali hilo ni jambo lakimaumbile kutokana na asili ya maumbile ya mwanaume haridhiki na mmoja.sasa ili kuzuia uchepukaji ndio ukawekwa mlango huo kwa mtu muadilifu.kiukweli ndugu umekosea sana...
aah umenigusa mulemule,mi hua najumuika na wazee wa ngamiani pale majira ya jioni tukipasha misuli na alkasuus kwajili ya mechi za kiwanja cha fundi seremela.ama nikiona vipi naenda zangu pweza kijiweni hana raha kwa madeni.ama kwa hakika tanga rahaaaa!
na nyie wana jf mumezidi kukosoa!zengine ni typing errors tu.mimi hapo namba mbili sikubaliani napo,si sahihi kusubiria wiki nzima ndio mtafute.unatakiwa umtafute ndani ya masaa48 kwa sababu km ambavyo amekupa namba anaweza kuwapa wengine na pengine akusahau.kuna force ya mvuto hupungua kadiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.