Tatizo maeneo mengi hayapangwa na ukitaka kugharamia kupanga mji eneo lako unatajiwa bei ya ajabu, na hata ukilipa hizo gharama mpaka kupitishwa mpango mji huo si chini ya miezi sita.
sawa! mkuu kwa ufahamisho, ila sasa kwa samsung namba 4.badala ya ai/(i) inatokea option ya dots tatu zimebebana (:) bonyeza hiyo linakuja neno info bonyeza
Pamoja na kuwepo kwa mpango wa flyover upande wa kigamboni lakini kwa sasa kipande hicho ni bora kikakarabatiwa kwani ni kibovu sana japo kikwanguliwe na kujazwa kifusi kwa muda huu tukisubiri hiyo flyover.
Upande wa daladala haya ndio maumivu makubwa kwetu sisi walala hoi, kwani wenye mabasi...
Lindi sio kweli kuwa ni mrefu Lindi unaanzia Ilala na unaishia mtaa wa Shaurimoyo na unaanza mtaa wa Sophia Kawawa na unaishia mtaa wa Msimbazi na unaanza tena Lindi unaishia Mnazimmoja
Mtaa mrefu ni Uhuru unaanzia Buguruni Barabara ya Mandera hadi Mnazimmoja Barabara ya Nkrumah
Mtaa wa Swahili
Huu mtaa upo Kariakoo
Mtaa huu unaanzia Barabara ya Morogoro na unaishia Mtaa wa Nkrumah!
na si kariakoo shimoni,
Hakuna mtaa unaoanzia shimoni bali mtaa wa Nyamwezi unapitiliza hapo shimoni kutokea mtaa wa matumbi jangwani na kuishia mtaa wa Mbaruku Gerezani
1.Michezo na Abdul Omar Masoud na Juma Ngondae
2.Club Raha Leo show na Brother Enock Ngombare
3.Usiku wa Raha na Debora Mwenda/Halima Mchuka
4.Malimwengu
5.Mazungumzo baada ya habari na Salum Seif Mkamba
6.Majira na Mshindo Mkeyenge
7. From me to You (External service)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.