Nikisema ni zaidi ya Mwezi sasa Kinondoni hatupati maji ya Dawasa unaweza usiamini. Hatujui kama ni mgawo, au ni tatizo gani. Hakuna taarifa yoyote.
Mimi naishi Kambangwa, ni Mwananyamala japo wengi tumezoea kupaita Kinondoni. Mara ya mwisho maji ya bomba kutoka ni zaidi ya wiki 4 zilizopita...
UFALME WA INSHALLAH
Huu ni ufalme wa mfano. Ufalme ambao unasifiwa kwamba unapigiwa mfano duniani kote. Ama kwa hakika, raia wa falme mbalimbali wanahusudu kuwa raia wa falme hii iliyosifika kwa miongo mingi kama falme yenye Amani, falme yenye demokrasia, falme yenye diplomaisia madhubuti...
Wasomi naomba kuelimishwa.
Kisheria, hasa sheria ya fedha imekaaje? Je, kuna kiwango elekezi cha riba ambacho mkopeshaji anatakiwa asivuke? Na je, Kila mtu anaweza akaanzisha utaratibu wa kukopesha mtaani na kuwa na riba aliyoamua na mbele ya sheria akawa Yuko sahihi?
Rushwa is for everyone's convenience. Sheria ziwe clear na ziheshimiwe na polisi na watumiaji wa barabara pia Polisi waache kuwalazimishia madereva makosa
Unaweza dhani unaimudu ukiwa umesoma kozi nyingine, lakini Kuna muda ujuzi wa Mambo Fulani pengine utahitajika mfano taaluma maalumu Kama uandishi wa habari. Nafikiri Kuna sababu za kutaka kazi Fulani ifanywe na mtu mwenye taaluma fulani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.