Recent content by sarolyna

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

    kukubali kuzaliwa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa Hujui?? Basi haya ndio maajabu ya bia..!!

    nyumba haijengwi kwa matofali pekeee....!!!!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa movie: Nukuu za Movie zilizowahi nifurahisha

    "when you embark on revenge journey, dig two grave" Revenge Season 1
  4. S

    JamiiForums Tanzania Serikali (TAKUKURU) yakamata Tani 4,900 za Sukari iliyofichwa Mbagala na Tabata jijini Dar

    wanaigawa bure lini hiyo sukari maaana tani 4,900 sio mchezo ni mifuko 98,000 na ni sawa na kilo 4,900,000 it means kila kaya dsm itapata kilo kadhaaa.....!!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa hesabu nisaidieni swali hili

    solve by factorization w^2-17w+60=0 w^2-5w-12w+60=0 w(w-5)-12(w-5)=0 (w-12)(w-5)=0 w-12=0 or w-5=0 w=12 or w=5 but lw=60 nadhani hapo unaweza kumalizia.... quadratic equation nakumbuka ilikuwa topic ya form 2 enzi za 2006
  6. S

    JamiiForums Tanzania List ya mabinti wazuri watoto wa marais Afrika

    ee moyo koma duniani kuna vya watu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hatimaye almasi ya pinki ya Mwadui yauzwa bilioni 21 ($-10m) huko Ubelgiji

    1carat equal to 0.2 grams
  8. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Field ya Mining Engineering kwa level ya Diploma

    ni vizuri ungekitumia chuo kuombea field through ur department coz wale jamaa kumpokea mtu individual ni ngumu sana
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa BARRICK aliyepotelea mgodini amepatikana leo saa 5 asubuhi amekufa

    usalama ndani ya migodi ya BARRICK ni mdogo sana wapo kwa ajili ya production tu. so polen sana mliofiwa...
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta hata boyfriend tu jamani upweke unaniuaa

    ni pm nikutoe upweke
Back
Top Bottom