Natafuta Field ya Mining Engineering kwa level ya Diploma

Fibonacci

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
374
204
Mimi ni mwanafunzi wa Mining Engineering, natafuta field mgodini...mwenye uelewa na hili..naomba maoni yako
 
Mkuu fasta nenda geita kama ulivyo na barua ya chuo 2..wanakupokea..kuna scarcity ya nyinyi watu
 
ni vizuri ungekitumia chuo kuombea field through ur department coz wale jamaa kumpokea mtu individual ni ngumu sana
 
Mimi ni mwanafunzi wa Mining Engineering, natafuta field mgodini...mwenye uelewa na hili..naomba maoni yako

Level ya diploma anzia kampuni zile za migodi midogomidogo kama ya kuchimba mawe,kokoto au wachimba visima vya maji nk.Makampuni makubwa ya madini na gesi mara nyingi huwa yanapenda kuchukua wale wanaosomea degree za mining na huwachukua idara zao kama mmoja alivyoandika hapo juu hawapokei kabarua ka mtu binafsi mmoja mmoja.
 
Back
Top Bottom