Kuna siku nilikula mboga ya majani hadi namaliza kula sikujua ni majani gani maana ladha yake kwenye mchicha haipo, kwenye chainizi haipo wala kwenye tembele haipo
Nashukuru mungu nimehama daslam
Watu mnamdanganya tu mara ajikeep busy, mara ajifunze skills mpya, mara afanye mazoezi...kimsingi hakuna mbadala wa nyege provided kwamba anakuls anashiba na Hana changamoto ya kiafya (hiyo ni Sheria ya asili ya kimaumbile)
Dawa ya nyeto ni kuona/kuwa na dem ambae atakuwa anapatikana muda...
Watu mnashangilia hapa ila anaesota mahabusu ni jamaa nyinyi mnakula maisha tu na familia zenu uraiani
Kesho hawawezi kumuachia abadani na watasema anakesi ya kujibu
Na kitendo chake cha kumuhitaji top na viongozi wengine wa juu kutamfanya kutamfanya aendelee kusota gerezani (na ndio lengo la...
Kipimo kinaitwa endoscopy (EGD/OGD)
Gharama yake haipingui laki mbili na nusu
Hakiumi, unapuliziwa spray ya ganzi mdomoni kabla ya kipimo
Kinaingizwa kupitia mdomoni, kina mpira (tube) ina taa kwa ajili ya kuonyesha sehemu za ndani na kamera kwa ajili ya kuona na kuchukua picha na video za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.