Recent content by Saranda

  1. S

    IGP Mwema ameibiwa upanga wa dhahabu wa kilo tatu

    Overhaul needed urgently
  2. S

    Hadi sasa, Kinana unauonaje muziki wa CHADEMA?

    Chadema au Chadomo? Mhh napita njia tu
  3. S

    Angalia Tofauti Hii KUBWA Kati Ya Marekani Na Tanzania...!

    ceichei2010; Unaweza kuwa mwandishi mzuri ila mwandishi mzuri ni yule anachambua habari bila hisia wala dhana binafsi na utambuo wa anachokiandika.Serikali ni ya CCM kitachoenda vibaya wakuulizwa ni CCM maana sera zao ndio zipo madarakani.
  4. S

    Angalia Tofauti Hii KUBWA Kati Ya Marekani Na Tanzania...!

    Hasa wewe ulitaka Rais Obama alete local polotics Tanzania kwanza ungemuelewa anasema nini. Hta Rais Kikwete akienda nje anaongelea Tanzania tu. Sasa Maggid nikikuona pale kiota ntakukumbusha kijana wangu. uchambuzi yakinifu vijana chambueni masuala. sio kunyenyera tu kama juma na Rosa.
  5. S

    Msimamo wa CHADEMA kuhusu ndoa za jinsia moja na ziara ya Dr Slaa barani Ulaya!

    Verified; Sasa hapa kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake je wewe umesindikizwa na Chadomo kuwa na msimamo huo?There's no free lunch! Chadema omba omba UK, USA na Kwenuneko masharti yao makubwa ni kutambua mashoga na hawajaweka bayana hilo. Lakini tunafahamu msimamo wa serikali kwamba ndoa ni...
  6. S

    Je ccm ni bora kuliko chadema 2013...?

    Usiulize papa wa Rome ni mkatoliki. Mara zote CCM ni bora kuliko Chadomo. Chadema hawana mikakati ya muda mrefu walidhani mikakati ya muda mfupi matusi, kupandikiza chuki na udini vingewaletea umaarufu. Sasa imekula kwao.
  7. S

    Bravo JK: Jin Ping and Obama in Dar , all done in one stride!!

    Usishindane na Baba yako kiumri atakuzidi tu. USA in umri wa miaka zaidi ya 250 sisi Tanzania 50 plus huoni kama kuna mengi ya kujifunza kwao. Mwalimu aliaasa Watanzania tusiwe wavivu wa kufikiri!
  8. S

    Nape utuambie ukweli je hii picha inakuhusu? kama ndiyo kadi yetu ikowapi ya CCJ??

    Tupe source ya hii picha, maana kuna photoshop activities. Na unaposema la ukweli thibitisha source yako ili toweze ku-prove. Kwanini unajificha jina lako. Hiki kitu muhimu sana tukipata ukweli wake.
  9. S

    Kinana awa Katibu Mkuu mpya wa CCM! Meghji na Migiro waula...

    mwitu; Kwa nini ufiri kabla ya kufungua domo lako. Anagalia substance sio maada katoa nani! Safu hii naamini italeta maendeleo am convinvinced.
  10. S

    Wana CCM Mchagueni Dkt Kikwete nafasi ya Mwenyekiti ili aendelee Kukijenga Chama zaidi!

    Kiongozi shupavu ni yule aneangalia maendeleo bila kujali Watu wasio na busara wanasema nini, ni kiongozi anaekabiliana na changamoto zote bila kuvunja sheria na kufuata haki za binaadamu. Kiongozi anaeona mbali. Kura uangu umepata Ndugu Mwenyekiti Dkt. Kikwete
  11. S

    Sababu za kumuunga Mkono Mwenyekiti Dkt Kikwete uchaguzi ujao wa CCM taifa

    Hapa umechapia, kila mwanachama wa CCM anayohaki yyakugombea nafasi yoyote kuanzia shina hadi taifa. Sasa kama tunaona Mwenyekiti anatufaa basi wengine huacha kutochukua fomu na hupigiwa kura za Ndio au Hapana. Lakini akijitokeza mwengine watashindana!
  12. S

    PICHA: Rais Kikwete katika ziara rasmi Ottawa, Canada

    tanzania people naomba muache ushamba huyu ndiye rais ambaye amebahatika na hamana mwingine tutakae mpata safari zake zote zina mafanikio nchi yetu inamaaendeleo makubwa sana angalia nchi za jirani.Rais ana khaki kubwa kupokelewa na heshma kubwa angalieni alivyopokelewa kwa heshma bwana...
  13. S

    Mastaa wa bongo: JK amwita Diamond ikulu

    Tunakuomba toa ukweli usituletee unafki wako wewe maana habari za kuaminika mamuya hakwenda bugeni mamuya hajaomba msaada wa diomond ongea ukweli wacha majungu tumeshakuona tupe ukweli kama mamuya alikuja dodoma ?na je ulikuwepo akiomba msaada au majungu ?Yasiyo nakichwa wala miguu...
  14. S

    Kashfa ya Ufisadi Jumuiya ya Washington kuvuruga mkutano wa CCM DMV

    Watanzania bado hamjuwi siasa badala tujadili vitu muhimu mnatuka ,mnaleta fujo ni Aibu kama tunaleta siasa basi tulete mabadiliko so wanachadema wana leta matusi ya ajabu uzushi mnawadanganya jumuiya sababu wanashida ya hella mnawapa ni aibu kubwa tupigane kwa hoja tupo nchi ya dunia ya...
Back
Top Bottom