Kashfa ya Ufisadi Jumuiya ya Washington kuvuruga mkutano wa CCM DMV

Tunakujua una ajenda zako. Wewe ni muongo na mchonganishi. Hakuna cha kujiuzulu hapo. MIpango yenu ya CCM/DMV inaanza kusambaratika sasa mnatafuta mchawi. Vipi Diamond anakuja? Vipi Kinana anakuja? Sandaly anafanya kazi nzuri sana na ana sifa na heshima kuliko yule kandidate wenu mliotaka kutulazimishia. Kajipange upya, bibie.
sisi ni wamoja... TATIZO NI CCM
 
Watanzania bado hamjuwi siasa badala tujadili vitu muhimu mnatuka ,mnaleta fujo ni Aibu kama tunaleta siasa basi tulete mabadiliko so wanachadema wana leta matusi ya ajabu uzushi mnawadanganya jumuiya sababu wanashida ya hella mnawapa ni aibu kubwa tupigane kwa hoja tupo nchi ya dunia ya kwanza lakini ni wapuuzi wa kwanza shame chadomo
 
Wanajamvi imethibitika kuwa Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Washington DMV imekumbwa na kshfa ya kuchukua pesa za Chadema ili wafanye sherehe wakati huo huo siku hiyo hiyo ili kuvuruga mkutano wa CCM DMV. Tayari wanajumuiya wamechukua hatua za kisheria baada ya jumuiya hiyo kutofungamana kisiasa. hata hivyo, Katibu Cherehani bado hajasema chochote mpaka sasa. Inasadikika kiasi cha $10,000 wamepewa ili wafanyie sherehe hizo.

Kosa ni hizo Pesa CCM inazipeleka kwenye Tawi na kuwapa baadhi ya Wanachama kama MCHICHA na Wengine hawapewi

Kwasababu tu hawajulikani NDANI ya CCM; CCM inaongoza sasa kwa MATABAKA, Maisha ya Marekani sio rahisi unaona

Mwanachama Mwenzako anapewa na CHAMA $ 400.00; wewe Unajituma unaambulia $ 0.00; CCM ya Kina NAPE NNAUYE na

Kikwete sio ya Enzi zile ya USAWA bila Matabaka; hii imejaa Matabaka; Unyama; Upendeleo; Uonevu; Ushawishi; Ubinafsi;

Ufisadi; Udini wa AJABU bila kuuangalia tutaangukia Maporini kutafuta USALAMA wetu...

Watanzania bado hamjuwi siasa badala tujadili vitu muhimu mnatuka ,mnaleta fujo ni Aibu kama tunaleta siasa basi tulete mabadiliko so wanachadema wana leta matusi ya ajabu uzushi mnawadanganya jumuiya sababu wanashida ya hella mnawapa ni aibu kubwa tupigane kwa hoja tupo nchi ya dunia ya kwanza lakini ni wapuuzi wa kwanza shame chadomo
Shame on you!
 
Hivi wabongo wa DC/MD kwanini mna mambo hivi? Kila siku hiki au kile... mbona wengine kama wa midwest hawako hivi?
 
Zamani nilikuwa nadhani Kijana wa Kitanzania akipanda ndege kwenda ng'ambo basi Ujinga, Majungu, roho mbaya na roho za kishirikina huwa anaziacha pale Airport kumbe sivyo.

Sasa watu wa namna hii kweli wataweza kucompete nini na jumuiya za watu wa West Afrika, majitu yamekalia majungu na roho mbaya tu, na nasikia siku hizi mlivyokuwa hampendani mmeanza mpaka kusafirisha ndugu zenu wachawi ili muwe mnalogana wenyewe kwa wenyewe!! huwezi kuamini kama wachawi wa ndumba na kuruka ungo siku hizi wanapelekwa Marekani na ndugu zao ili kuwangiana

Poor all of you, Ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!
Mmeshindwa maisha rudini nyumbani mje kuendeleza majungu vizuri pumbavu kabisa.

Mkuu Matola asubuhi yote hii unaanza ku-imply nini kwa vijana wa hapa nyumbani??????????? Hebu rudi na uondoe hii kauli kaka chonde chonde....................................
 
Kweli munatia aibu kwa siasa za aina hii. Hii jumuhiya yenu mnataka kutuaminisha iliandaa huo mkutano bila pesa na hata kama ni hivyo katiba ya hiyo jumuhiya inakataa ufadhili?

Mbona mnawasakama viongozi wa jumuhiya kabla hata ya hafla yenyewe kufanyika?kuna kitu nyuma ya hili sio bure na ni aibu sana na inaonekana hata jumuhiya yenyewe haitakuwa na msaada wowote kwa watz kama wanachama wake wana mawazo ya kitoto namna hii.

Mtajadili agenda gani zenye manufaa kwa Taifa au ndo CCM kwanza TZ/Jumuhiya baadae.

Nakusifu sana kiongozi wa jumuhiya kwa kukaa kimya usipoteze muda wako kujadili upuuzi huu focus ktk malengo ya jumuhiya unayoiongoza.
 
Mkuu Matola asubuhi yote hii unaanza ku-imply nini kwa vijana wa hapa nyumbani??????????? Hebu rudi na uondoe hii kauli kaka chonde chonde....................................

Naomba mistari yangu isomeke kama ilivyo na hapa ninachokifanya ni kukazia kila ninachoomanisha, kwanza kabisa ningependa ufahamu Matola ni mtu mwenye Exposure ya kutosha kabisa na nimeizunguka Dunia kwa kiasi chake, ndio maana natumia Lugha kali kwa baadhi ya hawa Mabwege hasa waliopo Marekani DMV.

Kwanza ningependa nikuthibitishie kwamba sasa hivi Wabongo wamefikia hadi hatuwa ya kusafirisha wachawi kwenda kulogana wenyewe kwa wenyewe huko Marekani, kitu ambacho sikutegemea kwa mtu mwenye Exposure bado abaki na roho ya kimaskini aliyotoka nayo kwao.

Usidhani kelele zote za kila siku hapa kuna hata chembe ya uzalendo la hasha ni njaa ya baadhi ya wenzentu ambao kwa watu ambao hawako well informed wanajuwa wameukata kumbe ushuuzi mtupu, wengine wamediliki hata kuharibu funga zao kwenda kufutulishwa na huyu msagaji Loveness Mamuya na kuutumia mwezi mtukufu na futari yake kuwalaghai Waislamu wajiunge na CCM.

Swali la kujiuliza hivi mtu mpaka anafikia level ya kuishi Marekani bado na yeye anazuzuliwa na huu usanii unaoitwa kufuturishwa? Tabaka la Watanzania linatia aibu.
 
Kama hali ndiyo hii hata kwa nyie mlio huko, basi bado tunasafari ndefu kuikomboa Tanzania yetu.
 
[h=6]Tina Ndonde
[/h][h=6]UPDATE: LSM NA WENZAKE WAWAHONGA WANA DMV FUTARI ILI WAJIUNGE NA CCM HUKO WASHINTON DC, NASIKIWA WATU WAMEKULA FUTARI AFU WAKASEMA HWADANGANYIKI, KUTUMIA NONINO ILI KUPATA UONGOZI TANZANIA HI HAIKUBALIKI, hii ni update ya leo wana ccm wa mdv loveless<mavi> na huyu **** mwingine Yakoub kinyemi<kinyama> wamefuturisha hii jioni ili kulaghai watu wajiunge na chama chao feki ili wapate kupiga picha za kumdanganyia Rais Kikwete ili awape ruzuku ikiwa pamoja na uongozi mnamo 2015 by Naima Moddy.
[/h]
 
Naomba mistari yangu isomeke kama ilivyo na hapa ninachokifanya ni kukazia kila ninachoomanisha, kwanza kabisa ningependa ufahamu Matola ni mtu mwenye Exposure ya kutosha kabisa na nimeizunguka Dunia kwa kiasi chake, ndio maana natumia Lugha kali kwa baadhi ya hawa Mabwege hasa waliopo Marekani DMV.

Kwanza ningependa nikuthibitishie kwamba sasa hivi Wabongo wamefikia hadi hatuwa ya kusafirisha wachawi kwenda kulogana wenyewe kwa wenyewe huko Marekani, kitu ambacho sikutegemea kwa mtu mwenye Exposure bado abaki na roho ya kimaskini aliyotoka nayo kwao.

Usidhani kelele zote za kila siku hapa kuna hata chembe ya uzalendo la hasha ni njaa ya baadhi ya wenzentu ambao kwa watu ambao hawako well informed wanajuwa wameukata kumbe ushuuzi mtupu, wengine wamediliki hata kuharibu funga zao kwenda kufutulishwa na huyu msagaji Loveness Mamuya na kuutumia mwezi mtukufu na futari yake kuwalaghai Waislamu wajiunge na CCM.

Swali la kujiuliza hivi mtu mpaka anafikia level ya kuishi Marekani bado na yeye anazuzuliwa na huu usanii unaoitwa kufuturishwa? Tabaka la Watanzania linatia aibu.

Nyuma ya pazia ni mama balozi. Hii bangi ni mradi wa mama balozi. Kabla ya mama balozi kuhamishiwa DC hatukuwahi kusikia huu upuuzi wa kufungua tawi la nyinyiemu wala nini. Ni bangi mbaya sana na anahitaji apewe honyo na vyombo vya diplomasia.
 
Naomba mistari yangu isomeke kama ilivyo na hapa ninachokifanya ni kukazia kila ninachoomanisha, kwanza kabisa ningependa ufahamu Matola ni mtu mwenye Exposure ya kutosha kabisa na nimeizunguka Dunia kwa kiasi chake, ndio maana natumia Lugha kali kwa baadhi ya hawa Mabwege hasa waliopo Marekani DMV.

Kwanza ningependa nikuthibitishie kwamba sasa hivi Wabongo wamefikia hadi hatuwa ya kusafirisha wachawi kwenda kulogana wenyewe kwa wenyewe huko Marekani, kitu ambacho sikutegemea kwa mtu mwenye Exposure bado abaki na roho ya kimaskini aliyotoka nayo kwao.

Usidhani kelele zote za kila siku hapa kuna hata chembe ya uzalendo la hasha ni njaa ya baadhi ya wenzentu ambao kwa watu ambao hawako well informed wanajuwa wameukata kumbe ushuuzi mtupu, wengine wamediliki hata kuharibu funga zao kwenda kufutulishwa na huyu msagaji Loveness Mamuya na kuutumia mwezi mtukufu na futari yake kuwalaghai Waislamu wajiunge na CCM.

Swali la kujiuliza hivi mtu mpaka anafikia level ya kuishi Marekani bado na yeye anazuzuliwa na huu usanii unaoitwa kufuturishwa? Tabaka la Watanzania linatia aibu.

Kaka hii assumption (highlighted in red)ndo ninayokuomba uiache cause ni kama vile unadhani na kuamini kuwa mtu akiwa exposed na kuishi nje ya nchi anakuwa better-off kuliko mtu anayeishi nchini na hajawahi kutoka reffer hiyo violet hapo juu

I humbly request you to recast the image in your cognitive schema that there are bright and smart youngsters dwelling the Tanzania bounderies than the ones living in the so called diaspora island......because the history has it that the later is composed of the by then failures by majority thus expecting wonders from such a bunch is real a good prepartion for the verry dissappointment of your own..........correct me if I am wrong
 
hii mada mbona iliwekwa hapa siku nyingi tu wakaitoa wenye jamiiforums???ukweli ni kwamba kuna chama cha siasa kimewahonga hao viongozi wa jumuiya ya watanzania waishio marekani DMV ili wakiunge mkono chama hicho cha hapa tanzania
 
Ili niweze kuamini usemalo, unapaswa kwanza kunijibu swali hili: Je tume ya uchaguzi NEC ina vituo vya kupigia kura uko Marekani? maana sishangai hapa nyumbani watu kuhongwa ili wakipigie kura chama cha siasa.
 
Kaka hii assumption (highlighted in red)ndo ninayokuomba uiache cause ni kama vile unadhani na kuamini kuwa mtu akiwa exposed na kuishi nje ya nchi anakuwa better-off kuliko mtu anayeishi nchini na hajawahi kutoka reffer hiyo violet hapo juu

I humbly request you to recast the image in your cognitive schema that there are bright and smart youngsters dwelling the Tanzania bounderies than the ones living in the so called diaspora island......because the history has it that the later is composed of the by then failures by majority thus expecting wonders from such a bunch is real a good prepartion for the verry dissappointment of your own..........correct me if I am wrong
Samahani mkuu nakuomba radhi nilikuwa sijui kwamba athumani Idd Chuji na Didier Drogba wote ni sawa hawana tofauti.
 
Back
Top Bottom