Suala la Lowassa kugombea liko pale pale hata kama Samwel Sitta atakuwa ndio mwenyekiti.Ushindi wa Lowasa kugombea kwa ticket ya CCM 2015 utakuwa wa uhakika endapo JK ataondolewa kwenye post ya uenyekiti wa CCM kwenye kikao kijacho.
Kwa ujumla mhimili wote wa CCM kwa sasa uko mikononi mwa Edward Lowassa dume la Mbegu la wanaCCM wote.