Bravo JK: Jin Ping and Obama in Dar , all done in one stride!!

Bravo JK: Jin Ping and Obama in Dar , all done in one stride!!

Kwa kweli kuwaleta hapa Dar hawa waheshimiwa , tena katika muda huu si jambo dogo.
Kuna wanaosema sana kuwa "tuna chumbiwa" kwa sababu ya madini yetu.
Kuna wanao beza hizi juhudi kuwa ni showman ship.
Wengine wanaenda mbali zaidi kudai kuwa nchi imeshauzwa.
Nawaasa watanzania wenzagu kuangalia kwa makini fursa zinazojitokeza.
Tazam kwa makini sana miradi inayokuja, ili mtu ufaidike binafsi kuliko kungojea salio la kodi toka serikalini, tena kwa njia ndefu sana ya kupitia mpaka bungeni.
Lets be smart.

Miradi itaanza karibuni sehemu karibu nyingi zitakazokuwa katika sehemu zilizo ainishwa misaada/miradi inayoletwa na wakubwa hawa.

Kwa wale wa kulalamika hakuna cha kuwasaidia, wajiulize kwa nini Obama, Jin Ping hakwenda Congo kwenye madini zaid au Nigeria kwenye biashara zaidi barani Afrika.

Na hapo ndo nampa heko JK kwa kucgeza karata na kulamba dume, kwa kuwaleta madingi hawa.

Hiyo sentensi ina utata! Ni miradi gani hiyo na kwanini haiwekwi wazi wananchi wakaijua? Kuna haja gani ya kufanya siri ikiwa manufaa ya miradi hiyo ni kwa ajili ya watanzania? Naomba kutoa hoja!
 
Swadakta.
 
Hiyo sentensi ina utata! Ni miradi gani hiyo na kwanini haiwekwi wazi wananchi wakaijua? Kuna haja gani ya kufanya siri ikiwa manufaa ya miradi hiyo ni kwa ajili ya watanzania? Naomba kutoa hoja!

Inaonesha hata magazeti husomi. Kwa kukusaidia tu, pitia hapa: http://tender.ppra.go.tz/

Kikwete kawawekea tovuti ya kisasa ili msihangaike kutafuta miradi iko wapi halafu hamuioni? kweli hamna macho wala hamsikii.
 
Hiyo sentensi ina utata! Ni miradi gani hiyo na kwanini haiwekwi wazi wananchi wakaijua? Kuna haja gani ya kufanya siri ikiwa manufaa ya miradi hiyo ni kwa ajili ya watanzania? Naomba kutoa hoja!

Mkuu wewe at least unaongea na kiu ya maendelea.
Mradi wa umeme wa wachina utakuwa huko Kinyerezi, tafuta kiwanja huko ili uwahi bandwagon ya supporting industries eg migahawa,hotels maduka etc.

Naifahamu kampuni moja ya kizalendo ambayo ina mitambo ya kisasa kabisa ya gas distribution jijini Dar.Huyo jamaa kaona mbali
Mambo mengi yako wazi ni kutafuta tu.
 
Kwa kweli kuwaleta hapa Dar hawa waheshimiwa , tena katika muda huu si jambo dogo.
Kuna wanaosema sana kuwa "tuna chumbiwa" kwa sababu ya madini yetu.
Kuna wanao beza hizi juhudi kuwa ni showman ship.
Wengine wanaenda mbali zaidi kudai kuwa nchi imeshauzwa.
Nawaasa watanzania wenzagu kuangalia kwa makini fursa zinazojitokeza.
Tazam kwa makini sana miradi inayokuja, ili mtu ufaidike binafsi kuliko kungojea salio la kodi toka serikalini, tena kwa njia ndefu sana ya kupitia mpaka bungeni.
Lets be smart.

Miradi itaanza karibuni sehemu karibu nyingi zitakazokuwa katika sehemu zilizo ainishwa misaada/miradi inayoletwa na wakubwa hawa.

Kwa wale wa kulalamika hakuna cha kuwasaidia, wajiulize kwa nini Obama, Jin Ping hakwenda Congo kwenye madini zaid au Nigeria kwenye biashara zaidi barani Afrika.

Na hapo ndo nampa heko JK kwa kucgeza karata na kulamba dume, kwa kuwaleta madingi hawa.

Ni lazima umpe heko kwa sababu wewe na yeye munaunganishwa na kitu kimoja: Uvivu. Mnafikiri kukaa vibarazani na kuwaalika watu kutoka nje waje wawajengee nchi yenu! Mawazo potofu kutoka kwa watu wavivu!
 
Jaribu kufikiri kwa muda mfupi tu kuhusu sakata la Richmond mpaka leo Obama anapoenda kwenye mitambo ya Symbion utajua ni channel gani tunalekea kama taifa. Misaada yote ya MCA ilikoelekezwa kuna maliasili ambazo wenzio unaowaita ni rafiki wa maendeleo wameisha piga hesabu za miaka 20 na wamepeleka makampuni yao kufanya biashara. Wageni wamekuja je usha jiuliza ni mambo gani tumesacrifice ili tupate misaada yao!!!!!! Wachina na Exim yao wametupa mkopo kwa ajili ya ujenzi wa bomba la gesi je wao tumewapa rasilimali gani (tafiti utajua tu kama ukiamua kuumiza kichwa chako kwa ajili ya maendeleo ya taifa hili) Je usha fikiri kuhusu suala la mwana wa mfalme na mikataba 17 ya wachina. Mambo yote haya yatakuwa wazi pale tu watanzania tutakapo weza kuondoa ufisadi katika taifa letu, vijana tunaweza kama tutaamua kutumia vichwa vyetu kufikiri na ma------. WAGENI HAWA WAKO KIBIASHARA ZAIDI NA WANAPIGANA VIKUMBO KUCHUMA MALIASILI ZA AFRICA, TUNAHITAJI VIONGOZI WASIO SIFIWA KUWAPOKEA BALI KWA KUFANYA NAO BIASHARA AMBAZO NI WIN-WIN SITUATION
 
Nadhani mleta mada umeileta kiushabiki sana mada yako iliyokosa uchambuzi yakinifu..Unauliza kwann hakwenda Congo au Nigeria wakati unafahamu ukosefu wa amani na uimara wa serikali ktk nchi hzo mbili..Unahtaji akainvest huko wakati wanajua watapata hasara ilhali kuna Tanzania ambayo ina amani na maliasili za kutosha..Unamsifia JK huku ukiwa umesahau aibu anayotuletea huyu kiumbe kwa kuendelea kuomba misaada ,yaani hata vitabu anataka wamerikani waendelee kutusaidia? Hashituki, haoni aibu na wala hajali kwa upuuzi anaozungumzia na kuusimamia..Leo wanafunzi wengi wanakaa chini wakati tuna mapori yenye miti mingi kwa kutengenezea madawati lakini hawajali hlo,wanataka America iendelee kusaidia na huko..Wafungwa wengi wana ujuzi,kwanini wasitumike kwenye kazi zenye tija, ..TUNASUBIRI OBAMA AJE KUWASHA MWANGA WA MAENDELEO AFRICA, HUU NI UJINGA KUAMINI KATIKA UPOTOFU NA BADALA YA KUPAMBANA WENYEWE KUELEKEA KWENYE MAENDELEO ENDELEVU..

Hahahaha safi sana kama CHADEMA mnakubali kuwa amani ipo. Tofauti na mnavyojichanganyaga kutafuta uongo kwa mabomu yenu hewa mnayouana wenyewe na kusingizia ccm
 
Hivi kwa nini watu mnaona kama vile ni mafanikio kutembelewa na hao marais?

I just don't get it.

Kuwa karibu na tajiri ni dalili ya mafanikio. Hebu fikiria kama unatembelewa na rais wa Sudan kusini au Somalia . Au unafanya nao urafiki .....kipi bora? Au wewe binafsi unapendelea rafiki tajiri au masikini ?
 
Sikumbuki kusoma au kusikia popote kwamba ziara hii ni mwaliko wa Tanzania. Na hivyo sitegemei kuona agenda zetu zikiwekwa mstari wa mbele. Zaidi ya kusikika duniani sina hakika ni faida gani exclusive kwa Tanzania ambayo tumeipata.

Huo mpango wa Power Africa sio kwa Tanzania pekee. Na ni Juzi tu ambapo Serikali ya Finland wamezindua msaada mkubwa sana wa umeme na sikumbuki kuona usumbufu na gharama zote hizi tulizoingia siku mbili zilizopita..

Sikatai ziara ni namna mojawapo ya kuendeleza mahusiano mazuri kisiasa na kidiplomasia. Hata hivyo naona ni bora Rais wetu angeenda huko kwao.

Bado nina maswali juu ya kipande cha mazungumzo ya siri ambapo waandishi walizuiwa, where is the transparency in governance katika hili? At least kwa wachina tulipewa idadi ya mikataba (Nadhani 17) ingawa sijaona details zake..
 
Ni lazima umpe heko kwa sababu wewe na yeye munaunganishwa na kitu kimoja: Uvivu. Mnafikiri kukaa vibarazani na kuwaalika watu kutoka nje waje wawajengee nchi yenu! Mawazo potofu kutoka kwa watu wavivu!
Mkuu kama huna mchango wewe sepa tu.
Si lazima usikike ukitika kama debe tupu,, wanaochangia fursa za uwekezaji wanajijua.
 
Swadakta.
I... I think the... the issue of satisfied with MCC should have com... should have been asked me.

MCC has been great assistance from the United States government to the people of Tanzania.

There are three.... three... three sectors here. There is the road sector. And the good thing about the MCC is that we decide on the..... on the areas or sectors that we need assistance. But even we decide on where. For example in the case of roads. There are roads that we spo.... we talked to many donors, who were not ready to support us. But when... when you said there is going to be support on roads I said "Let's try these roads, let's see what the American are going to say." The American said fine, if you think you need these roads fine, we will give you the money.

Those fellow Tanzanians know Namtumbo-Songea-Mbinga, Tunduma-Sumbawanga, Tanga-Horohoro, the roads in Pemba. But we chose those roads because, these roads are actually in our bread basket area. This is where we get the corn: Ruvuma, Rukwa and Mbeya.

We decide.. we chose the US to assist us to increase water supply in Dar es Salaam. It is our decision. The project is now being implemented.

With electricity we said, one of our biggest problems is access to electricity for people in the rural areas. The US said fine. We have m m .. in grid 10 regions of Tanzania. Coverage of electricity has increased from 10% to 21%, is phenomenal increase.

So I want to underscore the fact that I am satisfied with the support from MCC.

Is US doing enough? The US has done a lot, but if I say they have done enough, then the President will not listen to my new requests... hahahahahaaaaaaaaaaaa

But so far so good.

Deaths from malaria have declined by over 50%, infant mortality rates have declined, HIV infections have declined. Through PMTCT (Prevention of Mother to Child Transmission) more children born by HIV infected mothers are born free of the disease. More people now...

The US has supported us now with over 2 million books. And today I asked the president we want another 2.4 million and he said we will ... to .... and I see from their face that they are in agreement with the president. So that when it comes to science and mathematics books, we will have every Tanzanian child .. have a book of his or her own, instead of the ratios that we are talking today 5 to 1 now reduced to 3 to 1. So the list is endless.

We have a lot of support, we are very appreciative, we are very thankful, it has really helped changing the lives of our people.
 
Usishindane na Baba yako kiumri atakuzidi tu. USA in umri wa miaka zaidi ya 250 sisi Tanzania 50 plus huoni kama kuna mengi ya kujifunza kwao. Mwalimu aliaasa Watanzania tusiwe wavivu wa kufikiri!
 
mkuu hao wanaangalia tv ina maana wameishashiba hao,,, pia naona hapo taa inawaka. Hao watoto wa huku umewaona jinsi utapiamlo ulivyowatafuna?? Unajua nyie watu wa darisalama mna_overlook sana hii nchi. Sisi huku vijijini ndio tunaoucheza muziki wa maisha magumu na shida za kidunia, mlo mmoja kwa siku. Sio bush au jin ping anayeweza kumfanya jirani yangu mr mgonapawene akapata milo miwili, bali kubadili sera zenu za ufisadi kuwa sera za haki sawa na kugawana keki ya taifa. Haiingii akilini wakati riziwani ni trilionea baba yake anaomba msaada wa neti kwa obama, kwa nini asiombe kwa mwanaye tu...

Kiongozi!

You nail it!!!
 
I... I think the... the issue of satisfied with MCC should have com... should have been asked me.

MCC has been great assistance from the United States government to the people of Tanzania....

Duh!

Nadhani hapa jamaa walitoka kapa!!
 
Dah!!!! kwanza kabisa ili kuufikia huo usmart ulioandika hapa turekebishe hii mikataba ya uchimbaji wa madini yetu kama dhahabu ambayo haina maslahi kwa nchi. Kuwaachia makampuni toka nje wachukue mapato ya 96% ni UPUMBAVU wa hali ya juu. Mikataba iliyosainiwa hivi karibuni na wachina iwekwe wazi ili Watanzania tuweze kuichambua kwa kina na kuona kama ina maslahi ya nchi na mikataba yote ijayo ijadiliwe bungeni na si nyuma ya pazia ili Watanzania wote waweze kusikia kama ina maslahi au la, vinginevyo hawa akina Obama, Jin Ping, Jon Pong, Jung Pung etc wanaweza kuja nchini kila mwezi na nchi yetu isipate maendeleo yoyote ya kuridhisha kutokana na kusaini mikataba ya KIPUMBAVU/KIFISADI ambayo inawapa wageni 96% ya mapato yatokanayo na mikataba hiyo na kutuachia Watanzania 4% tu ambayo ni KIDUCHU MNOOO! huwezi kukuta mikataba hii katika nchi yoyote ile duniani ila kwenye nchi inayofananishwa na kichwa cha mwendawazimu.

Kwa kweli kuwaleta hapa Dar hawa waheshimiwa , tena katika muda huu si jambo dogo.
Kuna wanaosema sana kuwa "tuna chumbiwa" kwa sababu ya madini yetu.
Kuna wanao beza hizi juhudi kuwa ni showman ship.
Wengine wanaenda mbali zaidi kudai kuwa nchi imeshauzwa.
Nawaasa watanzania wenzagu kuangalia kwa makini fursa zinazojitokeza.
Tazam kwa makini sana miradi inayokuja, ili mtu ufaidike binafsi kuliko kungojea salio la kodi toka serikalini, tena kwa njia ndefu sana ya kupitia mpaka bungeni.
Lets be smart.

Miradi itaanza karibuni sehemu karibu nyingi zitakazokuwa katika sehemu zilizo ainishwa misaada/miradi inayoletwa na wakubwa hawa.

Kwa wale wa kulalamika hakuna cha kuwasaidia, wajiulize kwa nini Obama, Jin Ping hakwenda Congo kwenye madini zaid au Nigeria kwenye biashara zaidi barani Afrika.

Na hapo ndo nampa heko JK kwa kucgeza karata na kulamba dume, kwa kuwaleta madingi hawa.
 
I... I think the... the issue of satisfied with MCC should have com... should have been asked me.

.....We have a lot of support, we are very appreciative, we are very thankful, it has really helped changing the lives of our people.

Mamaaa!
Nyie watu wa degree za ku copy and paste huwa hamtumii akili sana, hata kwa zile ndogo mlizonazo.

Plagiarism kwa msomi is a sin.
Next time soma notes zako ulipokuwa shule kuwa uki quote, weka quotaton marks na source, wewe hata stammer ya unayemnukuu una swaga tu!

Sijui uliipataje hako ka degree!!!
 
Dah!!!! kwanza kabisa ili kuufikia huo usmart ulioandika hapa turekebishe hii mikataba ya uchimbaji wa madini yetu kama dhahabu ambayo haina maslahi kwa nchi. Kuwaachia makampuni toka nje wachukue mapato ya 96% ni UPUMBAVU wa hali ya juu. Mikataba iliyosainiwa hivi karibuni na wachina iwekwe wazi ili Watanzania tuweze kuichambua kwa kina na kuona kama ina maslahi ya nchi na mikataba yote ijayo ijadiliwe bungeni na si nyuma ya pazia ili Watanzania wote waweze kusikia kama ina maslahi au la, vinginevyo hawa akina Obama, Jin Ping, Jon Pong, Jung Pung etc wanaweza kuja nchini kila mwezi na nchi yetu isipate maendeleo yoyote ya kuridhisha kutokana na kusaini mikataba ya KIPUMBAVU/KIFISADI ambayo inawapa wageni 96% ya mapato yatokanayo na mikataba hiyo na kutuachia Watanzania 4% tu ambayo ni KIDUCHU MNOOO! huwezi kukuta mikataba hii katika nchi yoyote ile duniani ila kwenye nchi inayofananishwa na kichwa cha mwendawazimu.

BAK mbona UNABWEKA mno!
Unashauriwa kuwaondoa hao waliosaini mikatanba unayoisema kwa kura yako ifikapo 2015.
Na ikiwezekana kwa vile una usongo gombea kabisa uwakwide kule bungeni ili kieleweke.

Wakati huo huo bado wewe kama BAK angalia mfukoni kwako kama kumenona na ujue jinsi ya kuchukua fursa zilizopo kujiendeleza kiuchumi.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli Tanzania Tumeshindwa Kabisa Katika Suala la Umeme hadi Obama aje kutoka Marekani kuja Kusambza Umeme hadi Vijijini??????
Hivi umeshawahi kwenda Tanesco Kuomba Kuunganishwa kwenye Network ya Umeme wa Tanesco ukaona jinsi unavyopigwa Dana Dana na Kuombwa utoe Rushwa ya Nguzo??????
Haya yote Serikali imeshindwa kuya Handle Mpaka kuwangoja China na Marekani ndo waje Kututatulia Haya.
Nashuku Kichwa cha Mleta Mada kimejawa na Ushabiki wa Kimbeya pamoja na Matope

be smart in your mind
 
hongera jk! umempa Obama mapokezi mema hadi amekua rafiki yetu watanzania. check picha hii
sy1.jpg
 
Back
Top Bottom