Recent content by Sara

  1. Sara

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi wanashindwa kutofautisha R na L kwenye kuandika Kiswahili na si Kiingereza?

    Mimi shidayangu kuitamka r na l kwenye english mtihaniiiii
  2. Sara

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Ulaya hasa Norway ni mazuri sana, Bongo bado sana

    ILa sio kwa upweke ule wa kuishi ulaya hapana aisee. mi bongo sihami wacha tukomae hapa hapa
  3. Sara

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa dini wanaepuka mijadala ya historia ya utumwa ya mwafrika

    Au mtume muhamadi sijui hehehe
  4. Sara

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa dini wanaepuka mijadala ya historia ya utumwa ya mwafrika

    Wanaogopa tutafunguka akili na wao watapoteza ugali na mboga kwa ujumla
  5. Sara

    JamiiForums Tanzania Naomba Nijuzwe kama ni kweli kuna Wamarekani weusi wanahamia TZ kwa wingi

    wana enjoy sana tu mkuu, ingia youtube uonewanavyo hamasisha wenzao waje kuishi Tanznia au Africa. Wanasema maisha ni raisi mno bei za vyakula na kodi za nyumba ni cheap sana kulinganisha na hook kwao.
  6. Sara

    JamiiForums Tanzania Naomba Nijuzwe kama ni kweli kuna Wamarekani weusi wanahamia TZ kwa wingi

    Ndio wapo kibao sana tu hasa maeneo ya Kigamboni na Mikocheni, mi najua Wamarekani wengi weusi wanahamia Afrika kwa hiari yao na mapenzi ya kuipenda Africa. Wapo wengi Zaidi Ghana na Ethiopia nasikia. Kwa East Africa ni Tanznia na Kenya
  7. Sara

    JamiiForums Tanzania Natafuta wa kumrithisha mikoba, kilinge

    Hakuna cha moto wala mioto ya milele😜
  8. Sara

    JamiiForums Tanzania Natafuta wa kumrithisha mikoba, kilinge

    vipi ulishafungua kituo chako cha kazi?
  9. Sara

    JamiiForums Tanzania Natafuta wa kumrithisha mikoba, kilinge

    Usinisahu na mimi kwenye huu mgawo mh!
  10. Sara

    JamiiForums Tanzania Utani wa Jadi Special Thread

    haya twende kazi
  11. Sara

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Ndio maana mikorogo haitokaa ikose wateja hehehe
  12. Sara

    JamiiForums Tanzania Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

    Nae amevuna alichopanda. miaka yake ya ujana aliumiza wazazi wengi sana, hahaha.
  13. Sara

    JamiiForums Tanzania Taifa lipaze sauti kubwa Askofu Mwamakula aachiwe mara moja. Hakuna hatia aliyoifanya

    Kweli tupazeni sauti kwa pamoja
  14. Sara

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Zara Kay akabiliwa na mashtaka ya kuwa na uraia pacha nchini Tanzania. Hati yake ya kusafiria yachukuliwa na Vyombo vya Usalama

    she might be very aggressive and bit silly, lakini kuna Ujumbe kidogo kwenye maandiko yake especially katika issue ya dini. Lakini ki ukweli DINI zimetufanya watumwa.
Back
Top Bottom