Sahihi kabisa.. Halafu madhahuni wanatukandia lakini wakitoka hapo wanatutafutaNawasiliana na mwanasheria wangu nataka kuwashotaki hawa watumishi wa makanisa ya kutusemankila kukiha kuhusu imani zetu za jadi eti siye wachawi mbona sisi hatujawahi sema vibaya imani yao
Tena ni wateja wakubwaSahihi kabisa.. Halafu madhahuni wanatukandia lakini wakitoka hapo wanatutafuta
Nawasiliana na mwanasheria wangu nataka kuwashotaki hawa watumishi wa makanisa ya kutusemankila kukiha kuhusu imani zetu za jadi eti siye wachawi mbona sisi hatujawahi sema vibaya imani yao
Toka nimeacha maswala ya kanisa nimekuwa mtu wa amani sana sina hofu juu ya maisha tena... vile vitisho vya moto wa milele mara funhu la kumi michango kibao hamna tena kule manyara kanisa katoliki limeruhusu maombi ya kimila kanisani....
vipi ulishafungua kituo chako cha kazi?Pole rafiki Sumbawanga wameondoka na kilinge chote! WAMEKUWAHI!![]()
Hakuna cha moto wala mioto ya milele😜Toka nimeacha maswala ya kanisa nimekuwa mtu wa amani sana sina hofu juu ya maisha tena... vile vitisho vya moto wa milele mara funhu la kumi michango kibao hamna tena kule manyara kanisa katoliki limeruhusu maombi ya kimila kanisani....
Kile ndio next step nimeshapata eneo nitakupmvipi ulishafungua kituo chako cha kazi?
Una maanisha kanisa ama ?Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..
Swali zuri kwa Mshana😄😄Kwahiyo mkuu kama wewe unarud kwa Mungu
Nani aende kwa shetani?![]()