Recent content by Saqry

  1. S

    JamiiForums Tanzania CPA review classes Dar es salaam

    Habari wakuu, Kwa upande wa Course ya Business Law sehemu gani kuna mwalimu mzuri kwa Dar es Salaam?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Matumizi ya simu za TECNO yamepungua sana

    High ends za tecno ni kama zipi? Naomba kujuzwa tafadhali. Na high ends za Infinix pia tafadhali
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nahisi nina gundu la mapenzi kabisa

    Akili mingi [emoji23]
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nahisi nina gundu la mapenzi kabisa

    Dah. Nakubali..[emoji23][emoji23]
  5. S

    JamiiForums Tanzania Your Personal Errand Boy - Dar es Salaam

    Habari. Upo mbali na mkoa wa Dar es Salaam na: 1) Kuna ishu unataka mtu aisimamie /aifatilie au aifanikishe on your behalf? 2) Kuna bidhaa ungependa itafutwe/ ipatikane/ na utumiwe mkoani? 3) kuna chochote ungependa upate msaada / partnership na mtu wa Dar? Njoo DM kwa mazungumzo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kama una ushamba na wanawake fahamu haya

    Hapo sasa [emoji23][emoji23]
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kama una ushamba na wanawake fahamu haya

    Nakubali sana Ras. Uchoyo ni roho mbaya na roho mbaya ndo inayotesa watu. Kizuri kula na mwenzio, ubinafsi wa nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nakataa kuhusu uume mdogo a.k.a kibamia

    Umejua kunipa burudani...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja niiskrinshot hii life hack! Simply amazing
  9. S

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanamuabudu Mungu wa uongo hapa duniani

    Hii concept huwa naiaminigi pale napoona mtu kapandisha jini. Yani ni kiumbe kingine kabisa kinautawala ule mwili.. Waliowahi kukutana na hili wanaweza kuwa mashahidi.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanamuabudu Mungu wa uongo hapa duniani

    Mkuu, sijatumia neno DINI Nimetumia neno IMANI vitu viwili tofauti hivyo. Mila na desturi za zamani za kiafrika ni miongoni mwa IMANI. Dini za wazungu pia ni miongoni mwa Imani. I stand to challenge them all. Thank you.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanamuabudu Mungu wa uongo hapa duniani

    Pumba. Kuna imani inataka umuue mtu fulani kama adhabu ya kufanya dhambi fulani. Hiyo siyo kauli ya kuishi nayo mkuu.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanamuabudu Mungu wa uongo hapa duniani

    Umemaliza mkuu. Key points ni Fear of the Unknown And No one really knows the truth.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hatimaye local channels zarudi king'amuzi cha DSTV

    Sio Elfu tisa jamani. Ni elfu kumi ile. You guys keep sayin kifurushi cha elfu 9..aah.[emoji2955]
Back
Top Bottom