Recent content by Santieli

  1. Santieli

    NHIF mnaumiza wanachama wenu

    Ile inakua Siri na kuamua inategemeana na utashi wa mtu... Hi nchi hatuko viruri kivileee, unamwambia mtu ukweli unageuka adui.... Tutaambiana kwa njia hizi hizi tu
  2. Santieli

    Gharama za Afya zinatuua wajenga nchi na walipa kodi

    @(SPEAK LOUD KUELEKEA UCHAGUZI OCTOBER) Ukweli ni kwamba kuumwa Ni sifa moja wapo ya mwanadamu, kuumwa hukukumbusha kuwa karibu na muumba. Hutukumbusha pia duniani tu wapitaji... Kuumwa sio dhambi Wala mkosi Wala laana Ni Jambo ambalo hutokea karibuni kwa Kila tabaka, rika, rangi hadi...
  3. Santieli

    GE2020 Kuelekea uchaguzi mkuu tupaze sauti zetu kwa haya matatizo...

    Shida hapa huwa Ni uelewa kuwa unapopiga kura unatakiwa uweke mbali mapenzi ya chama ila zingatia sera, mkakati wa utekelezaji wa sera na usikivu na hekima za mtoa sera.... Mbali na hapo huishia kuchagua kwa mapenzi ya rangi, nyimbo, posho, pombe n.k
  4. Santieli

    GE2020 Kuelekea uchaguzi mkuu tupaze sauti zetu kwa haya matatizo...

    Hili tatizo Ni ka wote haswa wale tunaoitwa wanyonge au maskini .... Watakao mudu gharama hizi bila kuziwazia Ni wale wenye uchumi wa kati.....
  5. Santieli

    GE2020 Kuelekea uchaguzi mkuu tupaze sauti zetu kwa haya matatizo...

    Asalaam aleykum... Kwanza kabisa niwatakie kheri ya Eid al Hajji ndugu zetu waislamu. Nimeona kwamba katika uchaguzi unaogarajiwa kufanywa mwezi October 2020 kuna mambo ambayo yanaumiza na kukera yafanywayo na taasisi binafsi na zile za serikali ambayo kwa ujumla wake yanamuumiza mtanzania...
  6. Santieli

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Habarini wanna jamvi.... Shida tangu Ni kutaka kujua unapokuta bidhaa mtandaoni imeandikwa mfano: piece/lot 7 maana take Ni ipi? Je..!!? Wanamaanisha piece 1 vinakua vitu 12 au hivyo vitu 7 ndio pcs/lot?... Nifafanulieni kupitia hii bidhaa hapa chini
  7. Santieli

    Naomba msaada wa namna ya kubadili rangi kwenye maandishi (Bolding)

    Ingia tutorialpoint.com kisha search HTML FOR BEGINNERS download pdf yake ujisomee mkuu ni rahisi Nokia kitochi
  8. Santieli

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wimbo wa Zita Nokia kitochi
  9. Santieli

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nami pia nautafuta mkuu mwimbaji kama sikosei alikua anitwa Alan alikua msanii chipukizi wa sumbawanga anaimba kama juma nature Nokia kitochi
  10. Santieli

    Mbowe afundishwe namna ya kufanya uwasilishaji. Wanasiasa mnakwama wapi?

    Ona lingine nalo hili........ Mwandiko mbayaaaa..... Nokia kitochi
  11. Santieli

    Hizi gari za Waziri Mkuu 50 kwa 6b. Hatujapigwa kweli?

    DFP Donors Fund Project..... Nokia kitochi
  12. Santieli

    Nyumba za kupanga na adha zake

    Asante mkuu hapa na copy na ku paste Nokia kitochi
  13. Santieli

    Nyumba za kupanga na adha zake

    Umejuaje mkuu.... Sa hivi nimemlisha mke wangu ujinga kwamba we ukimuona mpite tu, ili akitafuta kasababu shukanae mzima mzima..... Nokia kitochi
Back
Top Bottom