Hizi gari za Waziri Mkuu 50 kwa 6b. Hatujapigwa kweli?

Tembosa

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
3,938
3,211
Kuna habari zina trend Waziri mkuu amegawa Gari za Wagonjwa kwa Wabunge 50 wa majimbo mbalimbali.

Mbona hizi Gari zina namba za DFPA?
Na tumeambiwa zimenunuliwa kwa Billion 6?
Kwanini zisisajiliwe kwa namba za serikali STJ, STK, STL?
Kuna kaharufu flani hivi....

A-1024x769.jpg
PMO_0497-1AA-768x512.jpg
PMO_0523AAA-1024x635.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshindwa kulalamikia OC ya mabilioni ambayo Mbowe anawapiga kila mwezi umeona DFPA? Kweli nyani haoni kundule

Sent using Jamii Forums mobile app

wewe ni yule mbunge wa CCM anayetoa hoja sasa hivi ? maana ana mawazo kama yako amekosoa hotuba ya mbowe kwa sababu anasema mbowe hawezi toa ushauri wa maana wa corona kwa sababu ameshindwa kukiendesha chama chake


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh itakuwa huu msaada ulikiwa na mashart ya kulipa fedha ndo upewe ndo maana kasema 6b imekwenda
Hivi ile 1T ya SiAG kwa mkuu iliishia wap na ile ya mkuu wa mbuga na wanyama wake nae iliiahia wap
 
Back
Top Bottom