Recent content by santana montana

  1. S

    Wananchi wa mbeya walia na SUGU

    Dah ndugu yangu mimi binafsi nimeelewa hapo kwene (masendo) tu basi.... Ila nahisi kama na(makobazi) yatausika au (malapa) si ndio ndugu au???
  2. S

    Mataifa makubwa hayakubali CCM itoke madarakani

    Alaf we hulieandika ujumbe ni mpu***v sana.... Kwaiyo unaskia raha wanavyopata vitu bure eti? Hurumia nchi yako mpuuz ww ndo mana hatuna maendeleo waswahili aisee,,,, yani limefurahi utasema lenyewe linayo ata baskel au kibanda cha kuishi....!!! Sheeeeennnnnz na watakua tayar tu watake wasitake...
  3. S

    Mradi mpya wa umeme vijijini si wa CCM ni wa Marekani!

    Acha hiwe ya wajerumani coz bila mjerumani zile reli angeweka babako?
  4. S

    Nape sasa amtaka Mbowe ajiuzulu

    Ccm ndo wanaongoza kwa matusi na kashfa kwenye mikutano yao... Jielewe
  5. S

    Lukuvi na jumba la zaidi ya 1 b tsh

    Ikifika mwaka2015 ccm km bado itaendelea kua madarakani nahapa haki ya mungu ntakua jambazi tena lililoshindikana... Maana nshachoka na huu ufisadi wa hii serikali ya tz liwalo na liwe I DON CARE....
  6. S

    Katibu Mkuu wa CCM, Kinana ahitimisha ziara yake ya kuimarisha CCM Shinyanga kwa kishindo

    Kumbe ni mafanikio ya ccm sio ya watanzania eti???
  7. S

    Wassira: Hatutawaita tena wapinzani Ikulu

    Sasa BUNGE na IKULU vinausiana nini? Huoni kama ni vitu viwili tofauti! Au unazani IKULU na BUNGE ni kitu kimoja kwakua rais katokea chama cha ccm.... Jipangeni maboya nyie
  8. S

    China, adui wa maendeleo na Demokrasia Tanzania! Balozi avaa kofia ya CCM

    Yani akuna alieongea pumba kwene hoja hii km ww dah
  9. S

    China, adui wa maendeleo na Demokrasia Tanzania! Balozi avaa kofia ya CCM

    Acha ujinga wewe... Ss ulishawai kuona chadema imepanda na mjeruman jukwaani na wakamvisha kofia ya chadema...? We unatakiwa utafunwe kama jina lako linavojielezea(kababu) vyakula vya mitaani ivyo kwa jingine(ubuge)
  10. S

    China, adui wa maendeleo na Demokrasia Tanzania! Balozi avaa kofia ya CCM

    Kwenda zako boya wewe ccm mnaongea pumba sana alafu wala huwa amjielewi kiakili... Sasa kwani huyo binti kakosea nini kuuliza hilo wakat yupo sahihi
  11. S

    China, adui wa maendeleo na Demokrasia Tanzania! Balozi avaa kofia ya CCM

    Swali lako zuri sana binti, ngoja nione nani atakaelijibu sahihi
  12. S

    samsung galaxy s2 inatakiwa haraka

    Ninayo tena bado mpya hila nataka laki tatu na nusu kama upo radhi na hiyo bei yangu call me 0685-555100
  13. S

    Namuomba TUNDU LISU agombee uraisi 2015

    Kwan hujui KAMANDA LISU NI CHAMA GANI! unashonwa nini ww
  14. S

    Kikwete: Mtaumbuka baada ya 2015

    Ucjidanganye dogo... Kwanza akuna mwana ccm yyte ambae anaweza kucmama na MH LISU kwa akili.... M4C ndo habar ya tanzania
Back
Top Bottom