Namuomba TUNDU LISU agombee uraisi 2015

Namuomba TUNDU LISU agombee uraisi 2015

BadoMbali

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
323
Reaction score
152
heshima kwenu wana Jukwaa,

huyu binadamu Tundu Lisu ni hazina kwe taifa hili, napendekeza TUMUOMBE agombee uraisi 2015.

- ana busara
- ana ona mbali
- ana akili ya kufikiri
- ni msomi wa kweli
- ameonesha kwa vitendo kuwa anaipenda na kuitetea Tanzania na watu wake
- Si mbinafsi
- Anajua sheria na ataweza kutoondoa kwenye Mikataba mibovu inayosainiwa na Madokta na Maprofesa wa CCM
- Atasaidia chadema kujiosha na propaganda za ukanda

inabidi niache tu kuandika sifa za huyu kiumbe TUNDU LISU maana naweza kuendelea mpaka kesho

Mimi napenda sana mambo yake huyu mtu.
 
Vigezo gani hii nchi sio ya vichaa mkuu
 
ID yako ndio mchango wangu kwenye hii mada.
 
Kwa mkoa wa singida wanaofaa kugombea urais ni wawili tu, nao ni Tundu lissu na Dk. Kitilya mkumbo, wengine ni hamna kitu, hawafai! Lissu ni mzalendo asiye tiliwa shaka kwa taifa letu!
 
kumbe hata wagonjwa siku hizi wamawazo ya kuwa marais kazi tunayo kwenye taifa hili.
 
Sera ya chama cha ccm watu wote wamezaliwa huru na wote sawa elimu wanayo na busara wanayo na ni watz

Sawa sawa hasa vichaa kama Mwigulu Nchemba asiyejua kuwa kuna taifa tofauti na chama.
 
heshima kwenu wana Jukwaa,

huyu binadamu Tundu Lisu ni hazina kwe taifa hili, napendekeza TUMUOMBE agombee uraisi 2015.

- ana busara
- ana ona mbali
- ana akili ya kufikiri
- ni msomi wa kweli
- ameonesha kwa vitendo kuwa anaipenda na kuitetea Tanzania na watu wake
- Si mbinafsi
- Anajua sheria na ataweza kutoondoa kwenye Mikataba mibovu inayosainiwa na Madokta na Maprofesa wa CCM
- Atasaidia chadema kujiosha na propaganda za ukanda

inabidi niache tu kuandika sifa za huyu kiumbe TUNDU LISU maana naweza kuendelea mpaka kesho

Mimi napenda sana mambo yake huyu mtu.
Agombee kupitia chama gani?
 
siku lisu akiwa rais nahama tanzania kweli itakuwa ni laana kubwa kwa mtu kama lisu kuwa rais.
 
Ukweli ndio huo, mnaopinga mara nahama nchi hata sasa mnaweza kuihama tanzania ili watu wake wawe huru.
 
Sawa sawa hasa vichaa kama Mwigulu Nchemba asiyejua kuwa kuna taifa tofauti na chama.

Lissu mtu wa fujo hana busara atafukuza watu na kuwaacha wa chaga majambazi kuwepo kwenye sehemu nyeti za serekali
 
heshima kwenu wana Jukwaa,

huyu binadamu Tundu Lisu ni hazina kwe taifa hili, napendekeza TUMUOMBE agombee uraisi 2015.

- ana busara
- ana ona mbali
- ana akili ya kufikiri
- ni msomi wa kweli
- ameonesha kwa vitendo kuwa anaipenda na kuitetea Tanzania na watu wake
- Si mbinafsi
- Anajua sheria na ataweza kutoondoa kwenye Mikataba mibovu inayosainiwa na Madokta na Maprofesa wa CCM
- Atasaidia chadema kujiosha na propaganda za ukanda

inabidi niache tu kuandika sifa za huyu kiumbe TUNDU LISU maana naweza kuendelea mpaka kesho

Mimi napenda sana mambo yake huyu mtu.

kwaza hajiheshimu pili mpendasifa tatu pamoja nakwamba anajulika kuwa nimsomi. lakinikimuonekano hayuko msomi hii nikwasababu akiwa bungeni huwa mulopokaji sana kitu ambacho hakiedani nausomi kwahiyo baadala yakumuomba kugombea uraiss. mwambie kuwa wewe lijinga sana!
 
Back
Top Bottom