Mataifa makubwa hayakubali CCM itoke madarakani

KWA TAARIFA NILIZONAZO :mataifa yote makubwa hawapo tayari kuona C C M inaachia madaraka kwa kuwa wanapata kila kitu bure hasa rasilimali kutoka kwa Uongozi wa Serikali ya chama hicho
viongozi waliopo madarakani hawana tena sauti kwa watanzania walio wengi,ila kwa ubabe wa wakubwa ikiwemo China na Marekani,ndo maana Juzi aliyeitwa balozi wa China alifanya aliyofanya kwa mkutano wa Kinana
ziara za nje za serikali zimekuwa kuomba msaada wa chama kubaki madarakani kuliko kuwasaidia watu wake kujiletea maendeleo
MY TAKE; vyama vya upinzani visitegemee sana wahisani toka nje wajikite kwa elimu ya uraia hapahapa nchini
Hauna taarifa za mataifa madogo?
 
Mawazo mabovu shule za kata ndio shida yake siwezi kukulaumu sana
 
KWA TAARIFA NILIZONAZO :mataifa yote makubwa hawapo tayari kuona C C M inaachia madaraka kwa kuwa wanapata kila kitu bure hasa rasilimali kutoka kwa Uongozi wa Serikali ya chama hicho
viongozi waliopo madarakani hawana tena sauti kwa watanzania walio wengi,ila kwa ubabe wa wakubwa ikiwemo China na Marekani,ndo maana Juzi aliyeitwa balozi wa China alifanya aliyofanya kwa mkutano wa Kinana
ziara za nje za serikali zimekuwa kuomba msaada wa chama kubaki madarakani kuliko kuwasaidia watu wake kujiletea maendeleo
MY TAKE; vyama vya upinzani visitegemee sana wahisani toka nje wajikite kwa elimu ya uraia hapahapa nchini

Alaf we hulieandika ujumbe ni mpu***v sana.... Kwaiyo unaskia raha wanavyopata vitu bure eti? Hurumia nchi yako mpuuz ww ndo mana hatuna maendeleo waswahili aisee,,,, yani limefurahi utasema lenyewe linayo ata baskel au kibanda cha kuishi....!!! Sheeeeennnnnz na watakua tayar tu watake wasitake. .. Nyooo lione vile.... UTAPAKATWA boya ww
 
kawaida yenu C C M mkiambiwa ukweli mnatukana ila ukweli utabaki pale pale
 
Alaf we hulieandika ujumbe ni mpu***v sana.... Kwaiyo unaskia raha wanavyopata vitu bure eti? Hurumia nchi yako mpuuz ww ndo mana hatuna maendeleo waswahili aisee,,,, yani limefurahi utasema lenyewe linayo ata baskel au kibanda cha kuishi....!!! Sheeeeennnnnz na watakua tayar tu watake wasitake. .. Nyooo lione vile.... UTAPAKATWA boya ww

mbona unatukana mkuu mwenzako ajatukana alafu unaropoka sasa kama unajua kutukana ahamie kwangu si ndiyo tulishazoea ban za modes sawa pimbi wewe jinglish aka jackass yes your idiot.
 
Wamechoka na matatizo ya congo na somalia,hawataki nchi nyingine iongezeke kwenye orodha. Bila ccm tanzania itaingia kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe.
 
Baada ya kikombe cha ngapi ndio muuza kahawa alikupa hiyo taarifa?
 
Mwisho wa siku ni kura ya mtanganyika ndio itaamua nani aongoze after 2015. Watanganyika tukiamua tunaweza, cha muhimu tulinde kkura zetu kwa gharama yoyote. Hata Kenya hao mabazazi hawakutaka Uhuru na Ruto wachukue nchi lakini sauti ya wakenya ilisikika. Tume huru ya uchaguzi ndio mpango mzima 2015
 
Barrick 2010 waarabu,wahindi,wachina,walitoa fedha kibao za uchaguzi tegemea uingereza,marekani china,urusi korea,japan,thailand,saouth Africa brazil,canada wote kutoa fedha za kutosha kwa CCM washinde bado hawajavuna wanataka kuvuna serikali ya ccm ikiwalinda wanajua kupora kuna risk lakini kuvuna kwa raha wakilindwa na CCm raha kabisa
 
Back
Top Bottom