Pamoja nakulipa malipo ya vivuko na daraja cha kushangaza wananchi wakigamboni tunashida Sana, Darajani hadi Maweni hakupitiki Kabisa, tatizo tuna viongozi siyo wabunifu kabisa hawana vipambele
Endeleeni na mawazo hayo hayo ya ukaskazini, angalia mwanza kutakueje baada ya miaka kumi, Moshi, Moshi , Haya jihadhari sasa hivi zitabaki mbege nawambia
Ndugu yangu mambo ya Zimbabwe yanahitaji umoja wa Waafrika hakuna sababu kuzungumzia mambo ya human right, kuna mambo makubwa mengi yanayowaumiza wananchi Wa Zimbabwe, mkakati wa Wa Wazungu ni rasilimali walizowekeza Zimbabwe, daima waliweka Zimbabwe kama mali yao, kitenda cha kudai haki ya...
Magufuli ni binamu mwenye maona, kila jambo linawakati wake, watu wanamsema vibaya ni binadamu wa ajabu Sana, nadhani wameshuhudia, Magufuli alivyo kwenye mioyo ya Watanzania, ni mtu wa vitendo hataki siasa za kulemba ni kiongozi aliyetayari kuwakemea wataule wake bila waoga,Mungu akulinde rais...
Mbona unaanzisha uongo Watz hawanawivu inawezekana ni mtizamo wako tu, Maendeleo ya Rwanda ni ya Wtz vilele, acha maneno ya uchochezi, Tanzania itabaki Tanzania, tunataka maneno ya kutiana moyo, fikra ovu za nini?
Lazima adhabu ya viboko iwepo watoto wanaleta ujinga wa wawazi kabisa kisa haki za binadamu, ni upotoshaji wakifanya makosa ya wazi adhabu ya viboko ni muhimu
Jamani hivi kama pesa nizako unaweza gawa kwa viongozi waandamizi kwa kiwango hicho, ni jambo la ajabu sijajua kama nchi zilizotupa uhuru kama England unaweza fanya hivyo, labda watusaidie wajuaji wa mambo, hapo kuna mambo yamefichika
Tujenge barabara km 100 pembezoni mwa bahari kwa lengo la kutenga utalii wa bahari , sambamba nakupima viwanja vya ujenzi wa mahoteli ili kukuza utali bahari, na hakika tutachochea ongezeka la fedha za kigeni na ajila
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.