Recent content by sansam100

  1. sansam100

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Mkandarasi aliyepewa mradi wa umwagiliaji Karatu na hajatekeleza, anyang'anywe pasipoti na ashikiliwe mpaka atapike pesa zetu

    Girls In Your Town - No Selfie - Anonymous Adult Dating https://secrelocal.com Womens In Your City - Anonymous Casual Dating - No Verify New Girls Jamie Luna Alica BaeAsian Suki Bella Yummy Couple LEXY
  2. sansam100

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dar: Fortunatus Buyobe adaiwa kutekwa na wasiojulikana

    Nilisoma nae mwanza huyu shule moja inaitwa Bismark, naona kuna taarifa kuwa yuko kituo cha polisi Chang’ombe
  3. sansam100

    JamiiForums Tanzania Karibu Tujuzane mbinu za kuwa pilot

    Naam ni mimi
  4. sansam100

    JamiiForums Tanzania Karibu Tujuzane mbinu za kuwa pilot

    Upo sahihi, nimepata PPL 43 airschool port Alfred CPL zero four Flight school Marget KZN, usipo kuwa na pesa yote kwa wakati mmoja unazidi poteza pesa kwenye accommodation, medical insurance na aviation insurance, bado ukimaliza na ma masaa yako 250 lakini mara nyingi ni zaidi ya hapo maana...
  5. sansam100

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ex wangu anaona status zangu licha ya kufuta namba zake kila mahali na ku unfollow Social Media

    Kama ni kweli basi umefuta jina kwenye namba, lakini namba bado umesave
  6. sansam100

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kujua ni vifaa gani vinahitajika katika kuanzisha huduma hii ya hosting Tanzania

    we fungua offisi utahost kwenye server za serikali au nje ya nchi unapiga commission yako maana utahitaji generator, fiber internet yenye speed, server zenyewe, operation cost yako itakua juu sana wangine watakua na bei ya chini na huduma bora kuliko wewe
  7. sansam100

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya's Safaricom in 'advanced talks' to take M-Pesa to Ethiopia

    Study more, yes it was discovered in Kenya but see who discovered it and who funded it, it was a multinational effort to drive financial accessibility in Africa, not a Kenyan effort
  8. sansam100

    JamiiForums Tanzania Meli inajongea vipi je panga zinazo chanja maji zina ukubwa gani?

    Jenga picha kichwani maji ni kipande Cha mbao, propeller ni screw, nathani kwa maneno machache hayo yatakua na msaada
  9. sansam100

    JamiiForums Tanzania Asilimia 67 ya watanzania wanatumia ARVs

    Mwalimu wako wa hesabu atakua na majonzi sana, kama asilimia 67 ya 4 ni moja . 67% ya nne ni zaidi ya wawili
  10. sansam100

    JamiiForums Tanzania Whites are smarter than blacks

    Intelligence is not about brain size but rather density of neurons, kama hivyo Ungekuwa unazidiwa akili na tembo, nyangumi au mnyama yeyote mkubwa Sababu cranium yake itakuwa utakuzidi ukubwa, kumbuka it's about neuron density kwa jina lingine brain cells, ndo maana binadamu anaakili kuliko...
  11. sansam100

    JamiiForums Tanzania Kitu gani unachoweza kumfanyia mtu aliyekufa kwa namna kuonyesha ulimthamini?

    Muweke dp ya whatsapp Kama vijana wa sikuhizi
  12. sansam100

    JamiiForums Tanzania Hii ndio hifadhi ya jamii pekee ya kuaminika iliyobakia Tanzania

    Lima Shamba la miti ya mbao
  13. sansam100

    JamiiForums Tanzania Nyie walalavi Mungu anawaona!

    Taratibu mkuu watu wengi wanateleza kwa freebasic internet ya bure madhara yake ni kushindwa kuona picha
  14. sansam100

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania wameshindwa kununua hisa za Vodacom, imefunguliwa kwa Wakenya

    Tigo is expected to perform better than Vodacom, And we expect to put our cash there Vodacom is slowly loosing out
Back
Top Bottom