Hakyanani mawazo yako yanahitaji maombeziMtoto namba mbili kwani acha hoi sana
![]()
![]()
![]()
![]()
Halafu mkiambiwa walalavi mnakuwa mbogo sijui kwa nini?![]()
Jamani walalavi ndo nini mkuu!!!
We hujawazoea Tu mkuu,wengine walimu humu michango yao ni maswali mwanzo mwisho.Wana JF wengine sasa vichwa vyenu vimekuwa bashite empty kabisa,umewekewa picha za viumbe vimelala halafu bado unauliza ulalavi ndio nini,hivi tutaacha kutilia mashaka vyeti vyenu?
Taratibu mkuu watu wengi wanateleza kwa freebasic internet ya bure madhara yake ni kushindwa kuona pichaWana JF wengine sasa vichwa vyenu vimekuwa bashite empty kabisa,umewekewa picha za viumbe vimelala halafu bado unauliza ulalavi ndio nini,hivi tutaacha kutilia mashaka vyeti vyenu?
Taratibu mkuu watu wengi wanateleza kwa freebasic internet ya bure madhara yake ni kushindwa kuona picha