Recent content by sanjo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

    Haya ni mawazo ya kutaka kutawala bila ya kuwa na check and control. Upinzani sio kazi yao kuimba mapambio ya kusifia watawala. Kama mnataka CHAMA kimoja ili mtawale milele fanyeni hivyo kwa kupiga Marufuku kupitiia Bunge.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

    What a useless argument. Katika nchi hii wenye silaha na instruments of power ni Amina nani? Ni nani ambaye hataki kukosolewa hata pale ambapo amekosea?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika, Dkt. Tulia naona analitafuta jimbo la Mbeya Mjini

    Mkuu, umetoa utabiri ulio sahihi kabisa. Kwa siasa za kimafia wako tayari kumpitisha kibaraka wao ili azidi kulivuruga na kulikata makucha Bunge la Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Honestly,nimesikitishwa sana kwa Uongozi wa Bunge 'kutoiamini' CHADEMA

    Ukweli ni kwamba Ndugai na Serikali hawakutaka kabisa TL ahudumiwe na pesa za serikali ingawa ni halali yake kama Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. This is double standard of the highest order. Mola awape moyo wa kuthamini uhai wa mtu.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Spika Ndugai ona aibu, gharama za ndege ya kumleta Lissu Nairobi imelipwa na CHADEMA

    TL get well soon. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naionea huruma sana CHADEMA

    Usiongee na kutoa hitimisho bila ya tafiti ya kisayansi. Mwambieni mtawala aruhusu mikutano ya CDM baadae rudi uje usimlie vizuri. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza(Mb) anusurika Kipigo. Baadhi ya Wabunge wa Upinzani watiwa mbaroni

    Siasa za Maji taka ndizo hizi. Unafurahia nini Mbunge wa jimbo kama la Kawe asimamishwe mwaka mzima?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Likes
  9. S

    JamiiForums Tanzania Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

    Vipi Wasukuma Wa Igunga, Mpanda na Mbeya?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la kupotea kwa Ben Saanane

    Upotoshaji mwingine ni kama huu. Daima kumbuka kuwa "if you don't have source of investigation you have absolutely no right to speak".
  11. S

    JamiiForums Tanzania Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

    Hilo lilikuwa swali la kinabii. Kusema ni rahisi zaidi kuliko maneno.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mlio na matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu, waulizeni wana Ikungi

    Wivu mwingine hauna maana kabisa. Unafikiri Kwa nini wapiga kura wake wamekuwa wakimchagua kwa kura nyingi kiasi hicho? Fikiria tena!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata 88% ya kura

    Ingelikuwa kama KANU ya Kenya au UNIP kule Zambia.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Arusha: Lissu ang'ara, asanteni Waziri Mwakyembe na Serikali nzima

    Kazi nzuri kwa mawakili kwa kuonyesha njia kwamba watawala wote wafuate sheria haha kama hawazipendi.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata 88% ya kura

    Hongera Jembe la kupigania utawala wa sheria.
Back
Top Bottom