Usiongee na kutoa hitimisho bila ya tafiti ya kisayansi. Mwambieni mtawala aruhusu mikutano ya CDM baadae rudi uje usimlie vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani akili ya Magu anaijua mwenyewe.Hilo moja, pili wasisahau kuwa tunasubili Noah zetu. Maana hatuambiwi kama wanaume wameshatulipa fedha zetu au bado.
Haya majadiliano na "wanaume" yatakuwa marefu kama ule mkutano wa Berlin (1884 hadi 1885) miezi minne.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe acha upumbavu, unaposema uliwapokea chadema Mwanza unamaanisha nini? Mwanza ni kwanani na chadema wanatoka wapi? Huu ubaguzi wa CCM hautawaacha salama. Unataka kutuambia Mwanza ni kwa ccm? Chama cha kibaguzi mnataka kuleta ukabila na ukanda halafu mnasingizia kuwa chadema ni Chaka cha kaskazini. Akili nyembamba za ficiemu. Msijaribu kushindana na chadema. Ruhusuni mikutano ya hadhara muone nguvu ya chadema.Hao watu ni wabaguz sana hapa mwanza tuliwapokea vizur sana tukijua ni wenzetu kumbe ni fisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu na akili za panzi!! Cjui kaahidiwa uenezi kulee,duuu watz hata waone kwa macho hawaelewi,jamani misukuleee ni shidaaaAman ya bwana iwe nanyi wapendwa wa mungu
Polen na majukumu ya hapa na pale
Sisi wote ni watanganyika na nchi yetu ni moja kwahiyo bas ni jukumu letu sote kuunda nchi saf yenye uchumi safi, elimu safi na siasa safi, uchumi na elimu zote kwa pamoja sasa zinaundwa vizur sana na huyu mzee wa kolomije
Lakin kwwnye siasa nawaonea huruma sana hawa mateja wa chadema waliolewa sifa zisizo na kichwa wala miguu hawana agenda zaid ya kutafuta huruma kwa wananchi, wananchi nao kwa sasa wamewachoka hawawataki tena hata huku vijiwen masela hawataki tena kuisikia chadema au kumuona kiumbe yeyeto yule anayeishabikia chadomo
Chadema ni imesha kabisa huku kitaa yaan imekufaa na imeoza
Nawaonea huruma sana 2020 mtakuja kuwambja nini wananchi kwwnye majimbo yenu hata hamuonekan wote mumehamia dar
Pole sana wenje maaana naona unahali mbaya sana kiuchumi nasikia unataka kurud ccm
Chadema nawaonea huruma sana kwa siasa mnazofanya zakurukia na kudandia matukio yasiyo wahusu
Chadomo imekufa kwaher chadomo
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona husomeki mkuu unamuongelea msukuma au chademachadema ni kweli inakufa ruhusuni mikutano ya hadhara maana ni kweli chadema hatuna hoja
ruhusuni na bunge live tuwaone wabunge makini kina msukuma wakiwatetea waganga wa kienyeji![]()
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka mume?Samahani nataka kujua tu. Je, wewe uliyeandika huu uzi ni Mwanamke au mwanaume!? Kama wewe ni malikia wa nguvu hongera sana.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mbowe kawashikia akili zenu yaan wewe rofa wa ufipan una ndoto za kuitoa ccm madarakanUna shida ya uelewa: NARUDIA KAZI YA CHADEMA NI KUONDOA CCM NA UJINGA WAKE. km unaona mdogo ni wewe. Kma ndio unachokiri kuwa kazi ya CHADEMA imekwisha , utakuwa unakiri CCM imeshatoa ukidhani ni chadema.
chama siyo MTU chama ni itikadi na sera., unawezaje onea huruma itikadi au Sera za chama. hebu rudini shule mkajifunze siasaAman ya bwana iwe nanyi wapendwa wa mungu
Polen na majukumu ya hapa na pale
Sisi wote ni watanganyika na nchi yetu ni moja kwahiyo bas ni jukumu letu sote kuunda nchi saf yenye uchumi safi, elimu safi na siasa safi, uchumi na elimu zote kwa pamoja sasa zinaundwa vizur sana na huyu mzee wa kolomije
Lakin kwwnye siasa nawaonea huruma sana hawa mateja wa chadema waliolewa sifa zisizo na kichwa wala miguu hawana agenda zaid ya kutafuta huruma kwa wananchi, wananchi nao kwa sasa wamewachoka hawawataki tena hata huku vijiwen masela hawataki tena kuisikia chadema au kumuona kiumbe yeyeto yule anayeishabikia chadomo
Chadema ni imesha kabisa huku kitaa yaan imekufaa na imeoza
Nawaonea huruma sana 2020 mtakuja kuwambja nini wananchi kwwnye majimbo yenu hata hamuonekan wote mumehamia dar
Pole sana wenje maaana naona unahali mbaya sana kiuchumi nasikia unataka kurud ccm
Chadema nawaonea huruma sana kwa siasa mnazofanya zakurukia na kudandia matukio yasiyo wahusu
Chadomo imekufa kwaher chadomo
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni lini CHADEMA waliongoza nchi mpaka wakagawana vyeo kwa upendeleo?kama anavyofanya Magu ambaye kwenye utawala wake amejaza watu wa kanda ya ziwa na ameweka rekodi ya kujenga uwanja wa ndege kijijini kwake.lakini mlivyo wabaguzi vyeo vyote mligawana
Chama chako hakina sera mkuu zote zilisepa na slaachama siyo MTU chama ni itikadi na sera., unawezaje onea huruma itikadi au Sera za chama. hebu rudini shule mkajifunze siasa