Wakuu kwema,
Kiwanja cha hekari 10 kinauzwa Singida eneo la
Mandewa karibu na hospitali ya rufaa, km 6 kutoka
round about iliyo karibu na uwanja wa peoples,kila
heka inauzwa milion 3, eneo limepimwa na linafaa
kwa ujenzi wa shule, msikiti, hotel, hospitali, kanisa,
kilimo n.k ...