muima
JF-Expert Member
- Jul 30, 2014
- 276
- 66
Yaha ufundi wake hayo makitu!! Usiombe kukutana na huo mzigo harafu unajua kutambaa na beat...
Flat screen utatupa kule!!
Du kazi tunayo sie flat screen
Yaha ufundi wake hayo makitu!! Usiombe kukutana na huo mzigo harafu unajua kutambaa na beat...
Flat screen utatupa kule!!
Du kazi tunayo sie flat screen
Hakuna kazi jiongezeni tu..
Aje sasa scale?
---- la wastani aka kijungu latosha...Sio demu mtako huooo mpaka kinyaaa
Ni chanzo cha wanaume wengi kupenda wanawake wenye makalio makubwa? Je wanaume hao wanayatumia makalio hayo? Au hapa na pale ni palepale?
Hahahaaaa...huwa yanapimwa swinging level...unalichapa paaa...!Si huwaga wanayazaba vibao wkt wa nanhii?
Hahahaaaa...huwa yanapimwa swinging level...unalichapa paaa...!
Hakuna kazi jiongezeni tu..
Tujiongezee masponchi...... mungu ndio kishatuumba ivo
Uaer name yako sasa! tu...
Heheheeeeeeeee limefanyaje jina langu...au umelipenda
Ndo manaake! Ha ha ha ha aaah! Hatari!
ni kama pilipil kwenye menu...lina stimu zake linapo vibrate!huwa kwanini mnayachapa
huo mzigo ni kwefereeeee!..nouma xana!Wanataka maonesho tu ila kwenye tendo hayasaidii chochote so kila shetani na mbuyu wakeeeeeee