Jamani wadada ukijijua kabisa kuwa unaenda kwa mpenzi, acha kupaka basi haya marangi yenu basi mnayoita Lipstick sijui mekundu.
Unajua kabisa mpenzi atataka kubusu kiaina au kubusu kiundani kabisa.
We hujiulizi unaenda umepaka halafu akikubusu yanaondoka mdomo unabaki mweupe, yanaenda wapi sasa kama sio mwanaume kayameza.
Mtatusababishia kansa wajameni, kwenye maelekezo pale mdada hujaambiwa kuyapaka ili boy wako ayameze bwana.
Mwee ila mengine huwa matamu kweli, Kama ya blackbery sijui Strawberry, mengine ya Apple.
Hayo matamu hata mi nayapenda