Recent content by Sanitaiza

  1. Sanitaiza

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Poa mkuu thanks sana
  2. Sanitaiza

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nafanya hivo lkn inagoma mkuu. Una namba zao niwacheki?
  3. Sanitaiza

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hongera mkuu. Nimejiunga na betway lkn nashindwa deposit kwa tigopesa. Wewe unatumia mtandao gani. Na je una namba ya simu ya mtu yoyote wa betway tz. Naomba msaada wako mdau
  4. Sanitaiza

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Habarini za j2 wakuu. Ligi nyingi zimeanza sasa. Kuna hii kampuni ya kubeti inaitwa betway. Nimeona wamefungua Tanzania. Sasa ukitaka kudeposit fund kwa tigopesa inagoma. Sasa wakali wa hizi kazi, naombwni msaada. Kama kuna mdau alifanikiwa kideposit kwa tigopesa, msaada please.
  5. Sanitaiza

    JamiiForums Tanzania Membe amtaka Tundu Lissu waunganishe nguvu waweze kuitoa CCM madarakani

    Umenena fact mkuu.
  6. Sanitaiza

    JamiiForums Tanzania Vitz vs starlet

    Fact
  7. Sanitaiza

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini katika enzi za gazeti la Sani?

    Dah safi sana mkuu, umenikumbusha mbali sana, enzi za Plaza, PICHA MBILI, KIINGILIO KIMOJA. Hiyo inaanzia sa 4 mpk liamba, dah MO TOWN tuliitendea haki sana na pale ABC kama waenda Railway Station
  8. Sanitaiza

    JamiiForums Tanzania Nichague ipi kati ya IST na Subaru Impreza

    Subaru impreza ni gari nzuri, iko fasta hasa katika long safari. Pia ni sport car, na inatulia barabarani. Shida ni pale utaitaji spare parts, kidogo bei imechangamka na sio nyingi kivile. Ila utazipata. IST nayo ni gari nzuri sana. Fuel consumption iko poa sana hasa zike za 1290. Ingine zake...
  9. Sanitaiza

    JamiiForums Tanzania Ni kweli ufugaji wa kuku wa nyama unalipa?

    Ndio mchezo wao mkuu
  10. Sanitaiza

    JamiiForums Tanzania Ni kweli ufugaji wa kuku wa nyama unalipa?

    Fact mkuu, ni wakopaji balaa. Anakulipa mara ya kwanza, ya pili, then anasepa na mzigo na deni kubwa
  11. Sanitaiza

    JamiiForums Tanzania Ni kweli ufugaji wa kuku wa nyama unalipa?

    Hahahahaaaa,
  12. Sanitaiza

    JamiiForums Tanzania Ni kweli ufugaji wa kuku wa nyama unalipa?

    Mkuu pole, kilimo ni balaa, unapigwa mbaya wakati unavuna, dah hii dunia ni shida
  13. Sanitaiza

    JamiiForums Tanzania Ni kweli ufugaji wa kuku wa nyama unalipa?

    Niko dar mkuu
  14. Sanitaiza

    JamiiForums Tanzania Ni kweli ufugaji wa kuku wa nyama unalipa?

    Wakuu habarini za wakati, wanaboard. Moja kwa moja nijikite kwenye mada. Nimefuga kuku kwa miaka takribani 6 sasa. Nimefuga kuku wa mayai (layers) na kuku wa nyama (broilers). Katika ufugaji wangu nimezingatia kanuni zote pamoja na ushauri wa wataalam. Nimekuwa nikipata matokeo chanya katika...
  15. Sanitaiza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hamu ya kufanya mapenzi kila mara

    Nenda bank kavute mkopo wa 10m weka kadi ya gari kama asset, nunua kiwanja chenye, panda miti ya matunda kuzunguka kiwanja. Then, sikilizia makato. Utakuja hapa kuwashukuru wanaboard kwa ujumla.
Back
Top Bottom