Vitz vs starlet

Mm mjadala huu nilishaufunga siwezi kuwa nafanya kazi ya kuwaelewesha utadhani watoto humu kuna post zangu zaid ya 15 kama umesoma zote unaweza kujua nilikuwa namaanisha nini
nikikuita Dogo unachukia
unajiita wa Elimu ya kuzaliwa
haya MKUU hakuna mahali walipoandika 1/100
ila wameandika l/100 maana yake mahesabu yote ya matumizi wanayapiga kwa kilomota 1-- au maili 100 kwa lita (iwe moja au 5.6 ai 12.0)
nashukuru tumejua elimu yako na ni wapi palipokutatiza
kumbe herufi L wewe unaisoma km 1

screenshot_2017-02-01-19-23-38-png.466179
 
Mkuu ratio ni hyo hyo International Vehicle Standards (IVS) ndio wana recommend ratio hyo kwa magari madogo 1/100Km huku Heavy Duty Trucks ni 13.3/100Km na magari ya kati ni 10.7/100Km kama nilivyosema hapo mwanzo ulaji wa mafuta kwa gari unatokana na mapendekezo ya mtengenezaji kutokana na speed au nguvu inayotumika kwenye engine na ndo maana ulaji wa mafuta gari iliyotupu ni tofauti na gari yenye mizigo ...
Gari ndogo inayoenda 1lt/100km ni ipi hio mkuu?
 
Ratio ya mafuta ni liter 1/100km sasa kinacho ongezeka ni nguvu yani Horsepower Vits inaanzia cc 1000 mpaka 1300 kwa vits toleo la zamani wakati toleo jipya ni 1500 Stalets zipo za kama aina 4 lakini cc inaanzia 1300 mpaka 1800 kwa stalet granza hii ni kama sport car stalet hawana new model kwani wameanza kuzitengeneza mwaka 1973 to 1999
Mkuu glanza ina CC1800 ?
 
Oyaaaa nunua vitz,weka mziki wa million na nusu,weka rimsport na tyre mpya,unaenda popote,Lita 32 unatembea kilometa 567.2,,,ukitoka dar tabora tank moja unusu fasta unatoboa kanyenye pale oxygen lounch unakula kuku choma. Vitz kwa mafuta utaona km unawaibia sheli ndugu,,starlet ya ki old old weka vitz tia mziki wa maana Masaa kumi upo tabora,kigoma baada ya masaa Kumi na sita unatoboa
Fact
 
Back
Top Bottom