chama mpangala
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 621
- 934
Haiwezi kuwa suluhisho MTU anayefanya mazoezi pia anapenda kungonoka.
Mwanamke mwenzangu kazi anayo..dyudyu Kila muda!!
Anza kufanya mazoezi walau itasaidia kupunguza kuDo kiasi icho.
Haiwezi kuwa suluhisho MTU anayefanya mazoezi pia anapenda kungonoka.
Mwanamke mwenzangu kazi anayo..dyudyu Kila muda!!
Anza kufanya mazoezi walau itasaidia kupunguza kuDo kiasi icho.
Ana umri gani? Anakuwa wapi wakati mkifanyana?
Jr![]()
mkuu hebu nitumie pm 😛 😛 😛Tatizo ni ngum kuelewa mwanamke anataka nini...
Ukimfanya kidogo ataenda kulalamika,ukimfanya sana atalalamika,kuishi na mwanamke inahitajika akili ya ziada.
Kuna video ya dada wa kichaga,nimeona amejichukua akiwa wamelala na bwana wake,analalamika wazi wazi,ya kwamba jamaa akipiga kimoja tu chali,na ni kweli ukiitazama video lijamaa halina habari linakoroma kama gari bovu linapanda mlima.
Sasa hawa ndio mm nawatafutaga sema huwezi kumjuaa kwa macho mkuuWatu msio chepuka mna tabu sana dah.
Unatesa mwanamke wakati kuna wapenda game wamejaa mtaani, mwingine anasema nataka tukianza saa 1 hadi saa 6 ndo ushuke kutoka kwa papuchi non stop.

Ni kipaji mkuu kiendeleze.
Mkuu sifa yanguu kuuu mm nakulaa sana starch na protein+Tikiti.Embu tupe siri ya mafanikio...



Mkuu nivile hunijuii tu.Maproject ninayomiliki sio poa.Huna majukumu wewe, kuwa na mipango mikubwa ndani ya muda mfupi uone kama kichwa kidogo kitasimama.
Usirizike na hali uliyonayo mjuba
Na kweli Mkuu niliwahi kuchepuka mara moja aiseee huyo mchepuko alijutaaaa kunifahamukumbukumbu anazo mfua mashuka wa ile guest
Tafuta mchepuko JF!


HUU NI URAIBU WA NGONO(TENDO LA NDOA).Tupo wengi...yani ni shida mno...mwili upo active muda wote..you cant get enough.....the more unafanya the more you need it...hii hali inakufanya kuwa mtumwa