Recent content by Sanie

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa gani huu na dawa yake?

    Nina maua yamepata ugojwa kama huu naombeni ushauri na dawa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa Kanisa, Hekalu na Sinagogi

    SoMo zuri
  3. S

    JamiiForums Tanzania TAZARA ya SGR itakuwa " white elephant" lingine kupitia TOZO

    Watu wengine wanaboa mpaka Sasa hivi mtu na mindevu yake hajui faida ya reli ukilinganisha na Barbara ww kauze Hilo lorry lako tuu isituaribie barabara
  4. S

    JamiiForums Tanzania Anayemiliki mabasi ya Kilimanjaro ni Tajiri wa ajabu kweli kweli

    Vitu vingine sijui NI chuki mm navyojua Kilimanjaro Ina mpaka mabasi D pia anaangalia route na faida halafu sio tajiri wa waruwaru
  5. S

    JamiiForums Tanzania Zama za Kilimanjaro Express zimeisha

    Jaribuni KIDIA wote mtanyoosha sentensi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Huu Mtanange wa DStv v. Star Times Tanzania

    Huyu anafananisha nn mm natamani kutupa jalalani Startimes hata Hana Cha kumkuta Azam sembuse DSTV
  7. S

    JamiiForums Tanzania Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

    Watu hata hawajui mashrti na vigezo vinavyotakiwa BUKOBA DU WATA NGOJA SANA
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Msukuma apata 'A' zote kwenye matokeo ya kidato cha pili

    Hizi no result za wapi zinazotoka na majina ya watainiwa badala ya number zile za NECTA sijaiona majina
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Shule za Serikali za vipaji maalum hazifanyi vizuri mitihani ya kidato cha nne (CSEE) tofauti na ile ya kidato cha sita(ACSEE)

    Angalia Idadi ya wanafunzi mfano Mdogo tuu Ilboru - Div I - 103 sasa unalinganishaje na shule yenye darasa la watu 20 -. 30
  10. S

    JamiiForums Tanzania St Francis ndio wanaotunga NECTA nini?

    Spoon feeding
  11. S

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Nina kingwamuzi Cha Starttimes je ninaweza kukiunganisha kwenye simu yangu niweze pia kuangalia kupitia simu yangu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Maoni Binafsi: Aliyefungia websites za ngono hakutumia akili

    Mmh acha thinga fikiria watoto wako wanaingia kwenye uraibu huo inakuwaje hapo serikali Ina mantuki inalinda kizazi kichanga isiwe Kama wewe bazazi
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hospitali zituheshimu wateja, mnatuibia sana

    Du kweli Kuna haha ya kuratibu baadhi ya gharama Kama consultation na registration fee
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ajali Morogoro: Mmiliki wa hoteli ya Villa Park apata ajali mbaya na kufariki dunia

    Nyie humu vipi mtu kapoteza maisha mnaleta utani pumbafu
  15. S

    JamiiForums Tanzania UHANITHI baada ya Kitovu cha Mtoto kukatika na kudondokea Sehemu zake za Siri

    Pumbavu nyie mmekosa mada zingine
Back
Top Bottom