Recent content by Sango Ochwera

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Msimamo wangu wa kutoteua upinzani bado upo palepale

    Ati huyu naye ni rais
  2. S

    JamiiForums Tanzania Watumishi Rorya waagizwa kuchangia ujenzi wa Maabara katika shule za Sekondari

    Hivi karibuni Rais Jakaya Kikwete atafanya ziara ya kikazi Mkoani Mara.Inadaiwa kuwa Rais akiwa mkoani Mara atakagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwa ni pamoja na ufuatiliaji wa utekelezaji wa agizo lake la hivi karibuni la ujenzi wa maabara katika shule za sekondari nchini hususani zile za...
  3. S

    JamiiForums Tanzania MBUNGE Chiku Abwao: Nitakuwa mtu wa mwisho kuisaliti CHADEMA, mabadiliko

    Zitto akikosa Bunge la Katiba najinyonga!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wapi nikasome Course ya Store Keeping?

    Wakuu, Naombeni mnisaidie kujua ni vyuo gani hapa nchini vinatoa Course ya Store Keeping na kwa level gani ya elimu.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mrithi wa John Heche huyu hapa

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema Taifa John Heche anamaliza muda wake wa uongozi wa Baraza hilo baada ya kuliongoza kwa mafanikio makubwa. Binafsi nimetafakari na kupata jawabu la nani atakuwa mrithi wa nafasi hiyo ya juu ya uongozi wa vijana ndani ya chama hicho.Kijana mwenye sifa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Wakuu naomba yeyote ambaye ameishapata scale ya mishahara mipya hasa ya TGTS inayoanza mwezi July atuwekee hapa.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 22 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    Akichangia katika bunge la Katiba,mjumbe wa bunge hilo Paul Makonda amewaita Mhe Freeman Mbowe,Mhe Jusa na Mhe Lipumba kuwa ni watoto wa Shetani kwa hatua yao ya kuunga mkono mapendekezo ya muundo wa serikali tatu yaliyopo kwenye rasimu ya Katiba mpya.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Vijana Rorya wamelala

    Maeneo ama vijiji vinavyochelewesha mabadiliko Rorya ni Buturi,Kowak na Utegi!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kujiunga jf.

    Sawa Mkuu!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kujiunga jf.

    Ngoja Lumumba buku 7 waje! Unasema wamejitoa ufahamu kwa makusudi?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Madaktari Hospitali ya Wilaya ya Misungwi hawana mahala pa kuishi

    CCM inatupeleka kuzimu,wakati wanapata fedha za kumlipa Zitto na genge lake ili aiangamize Chadema wanakosa fedha za kuwalipa madaktari.Ina maana hiyo halmashauri haipati OC ili angalau iwapangishie nyumba hao madaktari ambao hawajaingia kwenye pay roll? Poor CCM!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    Nasikia Zitto anatetemeka sasa hivi,mliopo hapo mahakamani mtujuze.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    Atapata wakati mgumu sana kujisafisha kwa ulafi wa rambi rambi.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    Huo ugali wa mtama uliokula leo majibu utayapata chooni!
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    Akiuawa Mwislamu huvunji gari ya mtu,huru kwa huru,jicho kwa jicho,meno kwa meno.....
Back
Top Bottom