Vijana Rorya wamelala

Vijana Rorya wamelala

Pale Rorya vijana hawashtuki kwa sababu..
1.hawana elimu (hata hizi za kijasiriamali zilizozagaa siku hizi)
2.hawana movements..miaka yote wanaishi sehemu hizo tuu...hawajui huku nje maisha yako vipi..
3. Hakuna juhudi za dhati zifanywazo na wanarorya waliojanjaruka tayari katika kuwaamsha wenzetu ambo bado wamelala..
4.ushirikina mwingi.. Hata wanarorya wa mijini wengi wanaogopa kufanya maendeleo makwao kwa woga wa kurogwa.

Nini kifanyike?
1.volunteers ama agents maalum wajitokeze uundwe mkakati wa kutoa elimu...hasa juu ya ujasiriamali na matumizi ya hela....mfano. vijana pale shirati-sota wanapata hela wanahonga tu na kunywa pombe...hawa-save wala hawawekezi.
2.ninyi mlio huku nje wavuteni wenzenu walio kule pindi nafasi zinapotokea. Sio kubaniana. Tuige wachagga katika hili.
3.pia...sisi ambao ambao angalau tumeshashtuka, tunaporudi huko tuonyeshe kweli tumeshtuka...sio kukaa maskani na wale vijana kuwaskiliza mawazo yao na kuwaacha hivyo hivyo ilhali unaweza kuwaongezea mawazo mbadala..ni unafiki..usipende tu sifa ukirudi kijijini kwenu unanga'aa ukawaacha wenzio wamezubaa..
Nawasilisha mawazo yangu.
 
Rorya is marwa kwa thuon and oyieyo will pass through yiendambewa. So ni sisi hawahawa wa kukaa chini nakutafakari kwa kina kuhusu rorya bila hivyo tutakuwa watu wa kulalamika kila kukicha. Tuungane tuwe kitu kimoja ili tulete maendeleo Rorya bila kuwa na ubaguzi. Wa kikabila.

Neno kodhluoch ni la kijaluo so nawe ni mjaluo tu. Jakine sio sifa nayo ni kabila. Mfano mimi mjaluo, mimi mmnandi .kuna tofauti gani hapo?
 
Mimi ni mwana Rorya mwakani nataka kugombea kwa tiketi ya M4C. Je mtanisapoti?. Acheni kufuata pesa. Mbunge wenu kwa ajili ya aibu ya kutopambanua mambo kila siku hayuko Bungeni. Lini umesikia akiuliza hata swali Bungeni. Badilikeni wana Rorya hata akiwa na fedha ametuangusha sana.
 
Haya nipe mikakati yako ya kuhakikisha ujumbe wako unamfikia kila kijana wa Rorya,kagwa,kowak,waturi,Kakresu.Vijana wengi wa rorya wana uelewa mdogo,wana ushabiki wa kikanda nani wanachama wa vyama tofauti na wanapenda rushwa ndogondogo kama kununuliwa kichwa cha chengu kwa kura.

MHESHIMIWA SASA NAONA TUNAELEKEA MRENGO WA PAMOJA, TENA MAENEO ULIYOYATAJA NDIYO KABISAA YANAHITAJI NGUVU ZA ZIADA, MIKAKATI YANGU NI MENGI IKIWEMO ELIMU KWA KILA NYUMBA,BIASHARA,MFUKO WA MAENDELEO,WAWEKEZAJI WA ULAYA KWA VIJANA WA ROYA(NINAO TIYARI USIJE UKANIULIZA NITAWAPATA WAPI)WAKO TIYARI KUWEKEZA KWA VIJANA WETU WA RORYA KWENYE SECTOR MBALIMBALI IKIWEMO KILIMO,UFUGAJI,ELIMU,COMPUTER,SOLAR ENERGY,BIOMASS ENERGY AND MANY MORE, TUTALETA TOTAL INTENSIVE TRAINING YA KUWAWEZESHA VIJANA KUMUDU MAISHA NA WAO KUWA WAAJIRI.

NAAMINI KUWA MASWALA YA RORYA NI MAKUBWA KULIKO USHABIKI WA MPIRA NA SISI WANARORYA TUKOTIYARI KULETA MABADILIKO YA KWELI RORYA,NAONA AIBU WATU WANAPOPEWA MISADA YA CHAKULA RORYA,VIJANA WANAGEUZWA KUWA OMBAOMBA BILA KWEPO PROGRAMME MAALUM NA YA MSINGI KUSIMAMIA MASWALA YAO KWA DHATI, NIKO TIYARI KUPIGANA LAKINI MASWALA YA RORYA YANAHITAJI UZALENDO ZAIDI BILA USHABIKI.

KWA MAELEZO ZAIDI BWANA ALBOSIGNATHUS CONTACT ME ON EMAIL:kodhluoch.rorya@gmail.com
MWANARORYA

KODHLUOCH.
 
pale rorya vijana hawashtuki kwa sababu..
1.hawana elimu (hata hizi za kijasiriamali zilizozagaa siku hizi)
2.hawana movements..miaka yote wanaishi sehemu hizo tuu...hawajui huku nje maisha yako vipi..
3. Hakuna juhudi za dhati zifanywazo na wanarorya waliojanjaruka tayari katika kuwaamsha wenzetu ambo bado wamelala..
4.ushirikina mwingi.. Hata wanarorya wa mijini wengi wanaogopa kufanya maendeleo makwao kwa woga wa kurogwa.

Nini kifanyike?
1.volunteers ama agents maalum wajitokeze uundwe mkakati wa kutoa elimu...hasa juu ya ujasiriamali na matumizi ya hela....mfano. Vijana pale shirati-sota wanapata hela wanahonga tu na kunywa pombe...hawa-save wala hawawekezi.
2.ninyi mlio huku nje wavuteni wenzenu walio kule pindi nafasi zinapotokea. Sio kubaniana. Tuige wachagga katika hili.
3.pia...sisi ambao ambao angalau tumeshashtuka, tunaporudi huko tuonyeshe kweli tumeshtuka...sio kukaa maskani na wale vijana kuwaskiliza mawazo yao na kuwaacha hivyo hivyo ilhali unaweza kuwaongezea mawazo mbadala..ni unafiki..usipende tu sifa ukirudi kijijini kwenu unanga'aa ukawaacha wenzio wamezubaa..
Nawasilisha mawazo yangu.

jatelo nimekukubali kabisa,kukosekana kwa elimu ya kutosha,uchawi,na wivu usio na msingi umechangia umaskini rorya. Nataka nije na intensive education kwa vijana kuwapa nguvu na kuwapanua mawazo yao ili wajue haki zao za kimsingi,nitafanya mbinu za ziada kuleta huduma zote muhimu karibu kuwawezesha kushiriki zaidi,nimepata wabia mbalimbali ambao naamini watanisaidia zaidi kuwawezesha vijana wa rorya. Mungu saidia rorya.
Watu wasipoteze matumaini na rorya ila tusaidiane kuchangia maendeleo yake.

Kodhluoch.
 
maeneo ama vijiji vinavyochelewesha mabadiliko rorya ni buturi,kowak na utegi!

nimefurahi kuona maoni yako na ni vizuri sana kuwa wanarorya wanajitokeza kuelewa maeneo yenye matatizo zaidi. Ila ningeshauri wanarorya kukaa chini na wadau wote na kutambua na kuchambua matatizo yote ya rorya,baada ya hapo tuamue jinsi gani tunaweza kuyatatua bila wengine kulalamika hiki ama kile. Tusitupiane maneno bila kutoa solution. Kabla hatujamlaumu mtu na kutoa lawama kwnza tutambua tunamatatizo gani na yana hitaji suluhisho gani.

Kodhluoch
 
bwana sos peter jaluo,kusimama si tatizo la rorya wengi wanasimama je unanini cha kusimamia rorya. Pili ningeshauri uache hiyo jina la jaluo,rorya is multi lingual constituency hatutahitaji majina yanayoonyesha direct tribal,hiyo jina unaweza kulitumia vizuri sana kwenye matambiko yako kuomba mizimu ya kwenu, siyo kwenye jukwa la siasa kuongea maswala ya taifa.

Kodhluoch.
Mkuu heri jinalangu kidogo linaumhimu Jaluo yeyote akiona hilo jima lzm apitie hapo.ila ilo alinatatizo tuungane tufa ye utaratubu Wa kuamsha wana rorya
 
Nashangaa vijana wengi wamekuwa kimya na kutoongelea maswala makuu yanayoisibu Rorya,wamebaki kuwa watazamaji tu.

Amkeni sasa kodhluoch yuko nanyi 2015,kwa maswala yote ya kiuchumi.

Watakuwaje kitu kimoja wakati nyie wajaluo ni watu wa kupenda majigambo na hampendi kusaidiana. Ninaongelea Rorya kama Joluo sababu almost 90 percent ya rorya ni wao. Mmekaa ki ukoo ukoo tu mara huyu jakamot yule jaturi mara mimi kwa odemba. Sasa kama watu wazima na wazito wa huko rorya mmeshindwa kuungana sisi vijana wa leo tutafanyeje...joluo uonge ki era!
 
Andieri thuon
 
Rorya imetoa wasomi wengi sana tu na nikianza kuwataja siwezi maliza leo...kufanya mawaziri, doctors, wanausalama vigogo, makatibu wakuu, mabalozi mpaka wakuu wa mikoa...lakini hooola mpaka sasa...shame!
 
Back
Top Bottom