Recent content by sangito

  1. S

    Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

    Hii Cv ni ya kuungunga kama super glue duh! Nimeaminai kuwa ccm ni janga la kitaifa kama mbunge kama Azan ana cv kama hii kwanza inaboa hata kuisoma!
  2. S

    TB Joshua: Mapinduzi yaja, nchi zinazojivunia amani ziangalie zisijeanguka!

    Suala la mapinduzi hasa kwa nchi za kiafrika ni dhahiri kutokana na hali halisi ya kisiasa na kiuchumi iliyopo. Mfano hapa kwetu Tz ni dhahiri kuwa wasomi wanadharaulika sana, hawana thamani tena, watu wasio na shule ndio wamiliki wa uchumi na nguvu za kisiasa. Hata ktk bunge letu, serikalini na...
  3. S

    ZITTO: Shilingi 1.9 trilioni zilitumika kuendesha magari ya Serikali

    Hili jambo linanikera sana. Mfano Jana nilikuwa natokea maeneo ya Kisongo-Arusha kuelekea mjini(Arusha) lakini tulipofika airport tulisimamishwa na traffic kwa muda zaidi ya dk 30. Nilipokuwa najuliza kisa ni nini tuliona msururu wa magati yasiyopungua 30 yanatokea airport kuelekea mjini...
  4. S

    Clouds FM wamburuza mahakamani Lady JayDee, kesi yapigwa kalenda hadi Mei 27...

    Ahsante kwa ufafanuzi coz wengine hatujui tofauti ya utaratibi wa kesi za madai na jinai. Sisi tunabaki kuwa watazamaji. Wasiwasi wangu ni kwamba jambo hili litaathiri industry ya music in Tanzania esp those who are sponsored and promoted by either parties. Worth enough, even to the gospel music...
  5. S

    Clouds FM wamburuza mahakamani Lady JayDee, kesi yapigwa kalenda hadi Mei 27...

    Ahsante kwa ufafanuzi ciz wengine hatujui taratibu za jesi za madai na jinai
  6. S

    Ushauri kwa Polisi kuhusu Arusha: Itisheni wananchi waliokuwa na Camera

    Kumekuwa na taarifa nyingi na za kuchanganya kuhusu tukio la jana hapa Arusha, hata scene yenyewe ni ya kuchanganya kwakuwa watu walipigwa na butwaa hata maaskari waliokuwepo ktk eneo la tukio walichanganyikiwa. Mimi nina uhakika lazima kuna mtu aliona tukio hili mwanzo mwisho na engine hata...
  7. S

    March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    What are BVR kits? Plz help
  8. S

    Who is Salim Ahmed Salim?

    Hili ndio tatizo la the so called “muungano“ yaani eti Salim A. Salim awe raus wa Tanzania? Who said so? We can not intertain that...we need a person from Tanganyika aliye who can realy lead the nation.
  9. S

    UDSM cha 25 kwa ubora Africa na 4,229 Duniani

    www.4icu.org/topAfrica/ Fuata hii link utapata vyuo 100 bora Africa..UDSM ni ya Sita(6)
  10. S

    UDSM cha 25 kwa ubora Africa na 4,229 Duniani

    Mimi napinga hoja hii. UDSM imepanda sana kwa ubora Africa mwaka huu na ni cha sita (6) out of 100. Mtoa hoja ametumia data za 2010/2011. Kwa Tz ni UDSM na SUA tu vimeingia best 100 universities in Africa.
  11. S

    Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

    Vp kuhusu Mlimani na Udom jamani je hawajatoa bado???
Back
Top Bottom