Mimi sidhani kama kuna utata wala woga juuu ya hilo linalozungumziwa maana ndo ulimwengu tulio nao kwa sasa, waweza ogopa kujua lakini likakupata na ukashindwa jinsi ya kujikwamua
Kwani hicho kiwango ni nani huwa anatamka kuwa ni sahihi kwa kila mchangiaji?Mara nyingi wanaopendekeza kiwango ndo wanaofanya maisha kuwa magumu kwa wachangiaji kisha wao wasitoe kile walicho ahidi.
Kwa hao wabakaji endapo itachukua mda kuwa kamata baasi kutakuwa kuna mikono ya wengi wanao husika.Pia ingekuwa ni vyema kama tutakuwa tunapata taarifa kuwa hilo suala linaendeleaje?
Kama ni kweli umejiridhisha na upembuzi juu ya hao madalali ni vyema,Ila kumbuka kuwa nao ndo Maisha yao kwa hiyo kutowatumia kuna ugumu kidogo hususani pale unapokuwa ni mgeni na yale mazingira.Cha msingi ni kuwa makini kuwa soma wao kabla hawajakusoma na shida yako
Wakati wa kuwa waungwana nadhani umefika sasa!kwa nini watu mnagoma kukubaliana na ukweli pindi unaposemwa?Labda mlitaka huo ukweli kuhusu ajira uwafikie kwa mfumo upi ili iwe sawa na matakwa ya nafsi zenu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.