Mwanafunzi Kidato cha kwanza abakwa darasani

Mwanafunzi Kidato cha kwanza abakwa darasani

Aiseee umenikuna hii yote inatokana na serikali legelege kila kitu kinakuwa legelege.

Hoja yako ni dhaifu sana, sema jambo jingine,lkn ktk hili nataka kukujulisha kuwa zikoserikali imarasana Duniani lkn haya matukio yamejaa, Shida yenu kuzaa raha kulea mnataka Serikali iwalelee haiingii akilini Wajibikeni msikwepe majukumu wazaaji.
 
kwani mwl ndiye aliyebaka? wewe mzazi litoto limekushinda huko halafu unampelekea mwl akalifundishe . mijitu inavuta bangi tangu nyumbani na mzazi unamwona halafu humkemei.

Mbaya zaidimwalimu mwenyewe haruhusiwi kumcharaza mwanafunzi, mwanafuzi akifanya makosa analaumiwa mwalimu.
 
Ukweli ni kwamba system nzima imepwaya kwa sasa,waalimu hata wasilaumiwe,kwa sababu waalimu wanapotimiza wajibu wao wa kuwaadabisha wanafunzi kwa kywaadhibu Kuna vidudu vinaitwa HAKI ZA BINADAMU,hawataki kusikia watoto wanachapwa wala kuwaadhibu kwa namna yoyote,wanadai TUWASHAURI TU,kwa ushahidi Kuna mwalimu anaitwa Willa wa shule ya sekondari Mgulasi iliyopo manispaa ya Morogoro,alimuadhibu mwanafunzi kwa utovu mkubwa wa nidhamu,tena fimbo nne tu,mzazi wake alikuja juu na kumfungulia Mwl mashtaka,aliwekwa lock up na kunyanyaswa nfano wa kibaka,kwa mazingira hayo waalimu tunajivua jukumu la kusimamia nidhamu,tutafundisha tu,maswala ya nidhamu yafanywe na wazazi wao huko,kwani hii ni dharau kubwa na kudhalilisha taaluma!!!
Tatizo tunasikia ngonjera za wazungu na sisi tunashabikia mkumbo bila kujua malengo yao. Haki za binadamu zingekuwepo kungekuwa na Guantanamo? China wananyooshewa kidole na hao waimbaji lakini wameshindwa, je China hawaishi!
Hata vijaana kwenda JKT hivi 'vidudu' vitaweza kudai ni ukiukwaji wa haki za bnadamu
 
Kwa hao wabakaji endapo itachukua mda kuwa kamata baasi kutakuwa kuna mikono ya wengi wanao husika.Pia ingekuwa ni vyema kama tutakuwa tunapata taarifa kuwa hilo suala linaendeleaje?
 
Siku zote nasema hizi shule za kata ni mkusanyiko wa hard core criminal standard seven failures! BRN -wote wahuni aambao walikuwa wavuta bangi hawasomi wanasombwa kwa BRN kwenda sekondari!

Acha ushamba km wangekuwa failures waendao shule za kata usingeona one kibao zinazopatkana uko,na wengne wanaoenda shule unazoona bora wengne wanashndwa.
 
Ukweli ni kwamba system nzima imepwaya kwa sasa,waalimu hata wasilaumiwe,kwa sababu waalimu wanapotimiza wajibu wao wa kuwaadabisha wanafunzi kwa kywaadhibu Kuna vidudu vinaitwa HAKI ZA BINADAMU,hawataki kusikia watoto wanachapwa wala kuwaadhibu kwa namna yoyote,wanadai TUWASHAURI TU,kwa ushahidi Kuna mwalimu anaitwa Willa wa shule ya sekondari Mgulasi iliyopo manispaa ya Morogoro,alimuadhibu mwanafunzi kwa utovu mkubwa wa nidhamu,tena fimbo nne tu,mzazi wake alikuja juu na kumfungulia Mwl mashtaka,aliwekwa lock up na kunyanyaswa nfano wa kibaka,kwa mazingira hayo waalimu tunajivua jukumu la kusimamia nidhamu,tutafundisha tu,maswala ya nidhamu yafanywe na wazazi wao huko,kwani hii ni dharau kubwa na kudhalilisha taaluma!!!

Upo sahihi kabisa aisee, ndo yanayotokea..
 
Ntunduru sio shule ya serikali, ni ya private, if am not mistaken mmiliki wake anaitwa mchele, shule inawahuni kibao toka enzi hizo, sijui kwa sasa kama hali yenyewe ndo hiyo.

"Ni kweli tukio hilo limetokea, ni tabia tu ya vijana wa leo kukosa maadili," alisema Charles

Kajibu kirahisi sana, pia nidhamu ya wanafunzi shuleni hutegemea na walimu walivyoijenga. Nnachoona hio shule inahifadhi waalifu wa siku zijazo...

Wakamatwe kuanzia mwalimu mkuu na waalimu wake wote; Inakuwaje uhuni kama huo kufanyika kwenye madarasa ya shule, na mwalimu anajibu kirahisi rahisi tu.

China hadi waziri wa elimu angewajibika.

Naamini katika uwajibikaji lakini kwa hili itakuwa ni ku-expect too much from teachers.

Labda niulize walipaswa kufanyaje ili kuzuia ili jambo? Maana hilo ndio litakalo determine kama walifanya uzembe au la!

Hawa wanafunzi wanaoanza kunyoa viduku wakiwa na miaka 10 ni manunda balaa, wameshindikana kwao, walimu wataweza wapi?
 
Maadili ya vijana kwa sasa yapo sifuri.Hapo hatupaswi kulaumu shule,na wale mnaoitupia lawana serikali mmekalili kuwa kila jambo baya likitokea ,lawana kwa serikali..Ipo siku mtakosa mboga nyumbani kwenu mseme serikali ilaumiwe!
 
Upo sahihi kabisa aisee, ndo yanayotokea..

sasa kwa mazingira ya namna hiyo,nani atakuwa tayari kudhalilika eti kwa sababu ya kurekebisha maadili ambayo mfumo wetu umeruhusu yaporomoke kwa kisingizio cha halo za binaadamu,tutakumbuka miaka ya 90 kwenda nyuma maadili ya wanafunzi yalikuwa juu kwa sababu wazazi waliamini waalimu na walishirikiana nao kuwanyoosha watoto watukutu,lakini Leo ukimgusa mtoto wa mtu unajitafutia balaa,kwa hiyo kilchobaki,ni waalimu kuingia madarasani,kufundisha basi,wasome au wasisome ni shauri Yao,unabaki kuwa wajibu wa wazazi wao BASI!!!!
 
Lawama ziende kwa mwalimu kwa sababu zipi hasa?? mnataka waweke camera madarasani na wakae wanalinda muda wote? mwalimu kusema ni utovu wa nidhamu hajakosea, coz thats what it is... Bangi za hao majangiri wawili walaumiwe wao wenyewe, kama ni malezi mlaumu kua zia wazazi nyumbani manake wao ndo wanapoay big part ktk tabia ya mtoto... honestly hapa hata serikali mnailaumu bure tu, mtoto aliyelelewa vzr anajielewa hawezi kubaka
 
kwani mwl ndiye aliyebaka? wewe mzazi litoto limekushinda huko halafu unampelekea mwl akalifundishe . mijitu inavuta bangi tangu nyumbani na mzazi unamwona halafu humkemei.

ni kazi yake kumrudisha kwenye mstali anakaa na mtoto muda mref kuliko Mimi
 
Ndio madhara ya viroba shuleni na kujiona wababe kila kitu wanakimudu kumbe balehe inawasumbua vijana wetu hawa
 
Wakamatwe kuanzia mwalimu mkuu na waalimu wake wote; Inakuwaje uhuni kama huo kufanyika kwenye madarasa ya shule, na mwalimu anajibu kirahisi rahisi tu.

China hadi waziri wa elimu angewajibika.

kwa sheria ipi unaweza kusimamia ili kutekeleza wazo lako hili? acheni mambo ya ushabiki usio na maana! inamaana unataka walimu waanze kuchunga wanafunza kama mifugo?
 
Wakamatwe kuanzia mwalimu mkuu na waalimu wake wote; Inakuwaje uhuni kama huo kufanyika kwenye madarasa ya shule, na mwalimu anajibu kirahisi rahisi tu.

China hadi waziri wa elimu angewajibika.

ulitaka ajibuje huyo mwalimu? aseme kwamba atawaleta? mbona hujaulizia muda huyo mwanafunzi anabakwa wanafunzi wnzake walikuwa wapi? na kama wanafunzi tu wanaosomea madarasani muda wote hawakuliona tukio iweje uwalaumu walimu? watu wengine mnapenda kuwalaumu walimu kama vile mlizaliwa mkiwa mnajua hayo mliyoyapata kama zawadi ya walimu mnaowanyanyapaa kwa mimaneno ya kejeli kila kukicha.. SHAME ON YOU.
 
wanajuana vizuri hao itakuwa ni wapenzi kitambo tu miaka hii ni nadra kumkuta mtoto mbichi sekondari
 
Wakamatwe kuanzia mwalimu mkuu na waalimu wake wote; Inakuwaje uhuni kama huo kufanyika kwenye madarasa ya shule, na mwalimu anajibu kirahisi rahisi tu.

China hadi waziri wa elimu angewajibika.
Ok
 
Back
Top Bottom