Ana akili kweli Ila kikubwa ni msikivu na mstaarabu. Amezungukwa na wazee wenye akili nyingi Amina Prof Safari, Prof Balegu na wengine. Ukichanganya ustaarabu na usikivu wake na vichwa vilivyomzunguka lazima awe super.
Baba yake ni mwarabu alikuwa pale tanga mjini stand ya ngamiani akiuza change na baadaye alishindwa hiyo kazi sababu kubwia unga akala hizo change akafungwa gereza la maweni
Jaribu kutofautisha Mihemuko na uwepo wa Roho Mtakatifu. Kwa Roho Mtakatifu hakuna mihemuko. Usiukoee heshima utatu Mtakatifu kwa kuufananisha na mihemuko ya akina Gwajima na wenzie
Hli lina ukweli maana jino langu moja limekuwa very sensitive na lingine limekatika kipande leo, sikuwa na tatizo hili kabla ya kuanza kutumi huu mchanyato
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Huyu naye bule kabisa, kwanini asiseme NCCR ni chama kinachoenda kuchukua Dola kwenye uchaguzi ujao. Kwa maneno yake haya inadhihilisha kuwa tayari kuna makubaliano kati ya NCCR na chama kingine kitakachochukua dola
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza kutujuza au ukatuambia kilefu cha hizi herufi PPE?
Kama huwezi jaribu kutafuta msaada wa kujuzwa. Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.