Yapi madhara ya kutumia sana ndimu/limao?

Kula malimao na ndimu kupita kiasi kutapelekea damu yako kuwa na alkaline nyingi (alkalosis). Mwili wa binadamu unatakiwa katika balanced level, kuwa kwenye kiwango sawa acid wala alkaline isizidi.

Alkalosis inaleta matatizo kwenye mapafu wakati wa gas exchange pia inasababisha madhara kwenye figo wakati wa kuchuja damu.
Mkuu limao ni alkaline ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Limao inapunguza mafuta sana mpaka yale utakayo kuwa nayo akiba. Hata pilipili nayo ndo maana nchi kama china, india matumizi mengi ya hivi vitu ukichanganya na viungo uwezi kuwa na mihili kama ya kwetu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu Unawajua wahindi kwa unene kweli!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kula malimao na ndimu kupita kiasi kutapelekea damu yako kuwa na alkaline nyingi (alkalosis). Mwili wa binadamu unatakiwa katika balanced level, kuwa kwenye kiwango sawa acid wala alkaline isizidi.

Alkalosis inaleta matatizo kwenye mapafu wakati wa gas exchange pia inasababisha madhara kwenye figo wakati wa kuchuja damu.
Hopes you meant metabolic acidosis
 
Nipo shule sekondali kulikuwa na malimao mengi na pilipili kipindi icho basi unajua misosi ya shule tena, kama jela miaka mpaka na maliza na mpaka leo maishani mwangu sijawahi kunenepa wala kuongezeka japo bia sana na kitimoto

Sent from my iPhone using JamiiForums
hii kweli .... naunga mkono
 
Kula malimao na ndimu kupita kiasi kutapelekea damu yako kuwa na alkaline nyingi (alkalosis). Mwili wa binadamu unatakiwa katika balanced level, kuwa kwenye kiwango sawa acid wala alkaline isizidi.

Alkalosis inaleta matatizo kwenye mapafu wakati wa gas exchange pia inasababisha madhara kwenye figo wakati wa kuchuja damu.
Mara nyingi mwili unatake care of everything

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom