Recent content by SANGA ONE

  1. SANGA ONE

    Hatimaye Songea tushapata umeme wa hovyo kutoka Makambako

    Jikaze mtoto wakiume utakiwi kulia lia
  2. SANGA ONE

    Si nina ibiwa hapa??

    Vijana mlio toka Facebook mnatupa tabusanaa wazee wa jf!
  3. SANGA ONE

    Je, Polisi Tanzania mmetoa ' Leseni ' Maalum kwa Wanaume wenye Magari wakitaka wayageuze ' Gesti ' zitembeazo?

    Jana tu kuna mzee anajifanya anamlinda sana bintiake nilicho Fanya nimewasha gari mpaka home kwake nikapaki nje nika mtext mtoto baby njoo nipo nje Akaja nikamkaza na misifa juu toka kwa mtoto baby ww mjanja ahahahaha na leo naenda
  4. SANGA ONE

    Ukiwa Tapeli usiwe msahaulifu

    Pesa watapeleka kwenye maludio ya uchaguzi aahahahahah
  5. SANGA ONE

    Kuibiwa kwenye Daladala

    Inaniuma sana nikiikumbuka Samsung g A9 yangu watoto wa shetani walipo niotea kwenye daladala
  6. SANGA ONE

    Maneno ya Mchungaji Gwajima yanaanza kutimia

    Hiyo clip ipo wapi ? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. SANGA ONE

    New AUDIO | Erico - Mr Material | Download

    DJ Mwanga: New AUDIO | Erico - Mr Material | Download
  8. SANGA ONE

    Paso

    PAmbafu sanaaaa
  9. SANGA ONE

    Paso

    Nataka kununua gari aina ya paso msaada kwa mwenye uzoefunayo.
  10. SANGA ONE

    Car4Sale Nahitaji Mark X

    Habari za mchana wakubwa, Moja kwa moja niende kwenye mada.Nahitaji toyota mark x namba yoyote ile hata A kikubwa iwe katika hali nzuri.Bajeti yangu 8million. Asante na karibu kwa kuchangia kama huna neno please pita kimya kimya.
  11. SANGA ONE

    Sanaa za msafara wa Magufuli kuzuiwa na wananchi

    ukawa dam siwezi kubadilika kwa hizo figisu figisu za ccm.
  12. SANGA ONE

    Msaada wa mawazo: Mwenye ufahamu wa biashara Malawi na Rwanda

    Habarini wana jamvi , Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naomba kusaidiwa kimawazo. Nilienda kwa ndugu yangu kumuomba anikopeshe fedha kwa ajili ya mtaji lakini kinyume na matarajio yangu, ndugu yangu huyo alinijibu mimi hela ya kukupa sina ila naweza kukufundisha jinsi ya kupata pesa. Ameenda...
Back
Top Bottom