OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 51,980
- 114,293
Kwani mkisema Magufuli ameomba kuhutubia wananchi,maandalizi yakafanyika na mkusanyiko ukapatikani itaonekanaje?jamani kampeni zimeisha,sioni tatizo kama mtakuwa wakweli.
Hapa ITV nashuhudia habari kuwa Magufuli kazuiwa na wananchi ili ahutubie.
Ukitazama mazingira huoni dalili hizo.isipokuwa ni mkusanyiko ulioandaliwa kwa shughuli maalumu....Cha kufurahisha zaid
unaona kabisa kua
Wanakijiji
waliosimamisha
msafara ni wengi zaidi
kuliko idadi ya wakazi
halisi wa kijiji au kuliko
hadhi ya kijiji.
Kuna siku tutaambiwa wanakijiji wamevamia ikulu na kuvunja geti kutaka kuhutubiwa na rais