Mtazamo wako ni very negative, yaani wewe ni pessimist pro max! Moto ni alama ya power, na pia mwanzo mpya
Tuna kasumba ya kuona vitu vya wenzetu vya maana kama mwenge wa Olympic alafu mwenge wa uhuru hauna maana. Baadhi ya vitu vya kujivunia ambavyo ni vya kwetu hata wageni waje kuona ni...
Tulizidiwa maarifa kwenye silaha na elimu dunia. Walitutawala wakaigawa Africa kwenye Berlin Conference 1885-1886 . Tulifanywa watumwa wa fikra na imani . Kwa kifupi tumetawaliwa hata sasa , majina yetu ni ya kizungu watoto wetu ni kama vimdoli vinavyoongea English na kuringia vyakula vya...
Tanzania kwa sasa wako vizuri sana hapa Afrika Mashariki kuliko Nchi zingine. Kwa kutumia kipimo cha utalii wageni wengi wafurahi kuwa Tanzani na mawasiliano yanaeleweka. Hawa wengine wakiongea English hata haileweki lafudhi mbovu sana. Mtz akijua lugha anaongea unafurahi kusikiliza
Neno Mungu halitoshi kuelezea na limezoeleka mpaka ile maana imepotea.
Ukisema Asali Asali hata mara milioni moja hautaweza kusikia utamu wake mpaka uionje.
Mungu yupo na hayupo !!! Uwepo na kutokuwepo kwake hatuwezi kujua kwa ubinadam wetu.
Umepotea mbali sana na ukweli, kwa sababu hiyo hautakaa kamwe upate furaha yeyote kwenye maisha yako. Huna tofauti na mtu aliefunga macho alafu analalamika kwamba haoni. Umepewa uhai na akili alafu unaishia kulalamika kana kwamba unanyanyasika. Kila mtu anapewa masaa 24 na wewe unapewa hayo...
Download movies na series kwenye site ya piratebay.org lakini kwanza download free downloader manager app kwa ajili ya magnetic torrents utaziona hapo.
Kwa subtitles hiyo ni ishu nyingine
Ni wazo zuri , Ila njia nyingine Tunaweza kuweka mfumo wa kikanda mfano Kanda ya Kaskazini ambapo kutakuwa na Gavana mwenye madaraka na baraza lake la wawakilishi kama vile Zanzibar, kwa kila kanda na hapo maendeleo yataenda kwa kasi na kutakua na ushindani. Nafikiri kwa uwezo wetu kiafrika...
Watu wengi wanapendelea watoto wao waje kufanya kazi ambazo wao wanafanya . Lakini miaka inayokuja baadhi ya ajira zitakuwa hazipo tena badala zitafanywa na maroboti au mashine. Hizi ni baadhi ya ajira ambazo ziko mbioni kutoweka:
Bank teller
Mara nyingi ukienda benki kuweka au kutoa pesa...
Neno Mungu au Kiingereza GOD limezoeleka na kukosa maana halisi ya inachokieleza. Ni sawa kusema rangi ya kijani kwa kipofu ambaye haoni . Inabaki kuwa neno tu lisilo na uzito wowote. Kipofu akibisha hakuna rangi utamwakikishiaje? Utamwonyeshaje?
Uwepo wa nguvu, roho au uwezo wa zaidi ya...
Nyerere National Park, Burigi Chato National Park. Tuongeze zingine hazitoshi hata Tundu Lissu National Park mpaka wale was jirani wanaosema Olduvai na Kilimanjaro ni ya kwao watulie kwani sisi sio saizi yao.
Chanjo kuwa ya muda na sio ya kudumu sio jambo jipya . Kila mwaka wazungu wanachanjwa flu shot mpya kwani virusi wa flu wanabadilika kila Mara kiasi chanjo ya zamani haifanyi kazi. Ni aibu kwa viongozi kama hawa waliopewa dhamana kushindwa kuongoza watu kwenye maamuzi sahihi kwa maisha yao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.