Recent content by sandet

  1. sandet

    JamiiForums Tanzania PolePole kuzungumza na Umma kesho tarehe 1/9/2025 saa 3 usiku.

    Kwa nini wamemfunga Lissu kama hawaogopi vita ya maneno?
  2. sandet

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Reality TV Shows: Share reality TV shows nzuri

    Jaribu kucheki hii Undercover Billionaire kama mpenzi wa biashara na uwekezaji, ipo You tube pia inaonyeshwa DSTV https://youtube.com/playlist?list=PLWdJp7tAwMwSKQ_NblVXnpVfFZUo40ocI&si=KWGE0S6eFxxpm7aJ
  3. sandet

    JamiiForums Tanzania Sijajutia kabisa safari yangu ya Morogoro kuangalia maeneo (ardhi) ya uwekezaji

    Hapa kijiji gani Mkuu? Kama inawezekana, chini ya kila picha ukàandika Jina la kijiji ulopopiga. Ahsante, Kwa kushare utajiri wa nchi hii.
  4. sandet

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ni jiji la kitalii?

    Hii ingefaa iende Kule story of change...ila naona muda umeshaisha
  5. sandet

    JamiiForums Tanzania MORUWASA: Tuna upungufu wa uzalishaji maji kwa 49% ndio maana Morogoro kuna mgao

    Na mito yote iliyoko Morogoro, pia mvua yote iliyonyesha wanashindwa kuhifadhi maji?
  6. sandet

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina diplom ya Uandishi wa habari

    Kama upo vizuri, kwenye kiingereza wajaribu Tanzania Digest, walikuwa wanatafuta waandishi wa kujitolea. Pili, usijifunge Kwa Tanzania tu, kuna hawa wanaitwa Vocal media: [Vocal] ukiandika makala nzuri ikakubalika wanakulipa kadri inavyokuwa inasomwa na watu. Tatu, jaribu kujiendeleza zaidi...
  7. sandet

    JamiiForums Tanzania Nikasome degree nyingine au nifungue biashara?

    Unachohitaji ni ujuzi..na wala siyo degree. Ni Bahati mbaya Sana kwamba degree zetu nyingi na mfumo wa ufundishaji unaishia kutoa maarifa na wala siyo ujuzi. Mfano unaweza ukasomea Human resources management unaishia kuwa na maarifa, lakini zile ule ujuzi unaohitaji katika hii fani Kwa mfano...
  8. sandet

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Taifa Muhimbili na urasimu wa kutoa Medical Report

    Hospitali kubwa kama hiyo, haina mfumo wa kuandaa medical report automatically? Hadi andike manually..
  9. sandet

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani naweza ongezea kwenye Kinyozi changu

    Inategemea na ukubwa na wa saluni yako na mtaji, unaweza fanya yafuatayo Kwa ndani: 1. Weka mafuta, perfume na nail cutter ambazo wanaume wanapenda kutumia. 2. Uza vocha Kwa kurusha na huduma za kifedha. 3. Weka hizi smart watch hazichukui nafasi kubwa, kinachohitajika tu ni design nzuri Kwa...
  10. sandet

    JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa namna ya kutengeneza automatic school result ya excel

    Pitia huu uzi. https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2098224/
  11. sandet

    JamiiForums Tanzania Mbinu waliotumia kampuni ya Avis kutawala soko la magari ya kukodisha Marekani

    Kwa msaa wa AI ChatGPT, huu ndio ufafanuzi wa Against Positioning Marketing Strategy. With reference to Avis car rental, the against positioning marketing strategy works as follows: Avis differentiated itself from Hertz, the market leader, by emphasizing its customer service and quality. Avis...
  12. sandet

    JamiiForums Tanzania Ni mstari gani kwenye biblia unautumia sana upitiapo nyakati ngumu katika Maisha

    Ayubu 14:7 7 Kwani yako matumaini ya mti, ya kuwa ukikatwa utachipuka tena, Wala machipukizi yake hayatakoma.
  13. sandet

    JamiiForums Tanzania Payment aggregators -Tanzania banking services

    Kampuni nyingine hii, wajaribu https://dpogroup.com/
  14. sandet

    JamiiForums Tanzania Pdfdrive.com inazingua

    Jaribu hawa Zlibrary https://z-lib.io/popular
  15. sandet

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Field of interest: Open data Kit (ODK) programming Experience: 5 years Education level: Post Graduate, Computer science Location: Arusha
Back
Top Bottom